Wanawake
9 March 2023, 5:29 pm
Wanawake watakiwa kutetea haki za watoto
Mkuu wa Mkoa amewataka wanawake kusimama imara katika jamii kupinga ukatili wa kijinsia pamoja na kutetea haki za watu wenye ulemavu. Na Mariam Kasawa. Wanawake wametakiwa kusimama imara kutetea haki za watoto pamoja na haki za watu wenye ulemavu Nchini.…
3 March 2023, 2:50 pm
UWT Bahi walipongeza Dawati la Jinsia na Watoto
Mkuu huyo ametoa wito kwa wananchi kutoa taarifa za ukatili ili kumsaidia kila mmoja kuishi kwa furaha . Na Bernad Magawa Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Dunuani ambayo hufanyika machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya wanawake…
1 March 2023, 9:20 am
Kuelekea Siku ya Wanawake duniani wanawake wametakiwa kuchangamkia mikopo nafuu…
Machi nane mwaka huu wanawake wameshauriwa kujitokeza kwa wingi ili kujiunga katika vikundi ambavyo itawawezesha kupata mikopo kwa urahisi kupitia asilimia 4 ya mikopo inayotolewa kwa wanawakekutoka serikalini ambayo itawawezesha kubuni ama kuendeleza miradi ambayo wanayo na kuwasaidia kuwakwamua kichumi…
28 February 2023, 5:59 pm
Kausha damu yawaliza wanawake Jijini Dodoma
Mikopo hiyo imepachikwa jina la kausha damu kutokana na maumivu wanayopata wakopaji kwa kuwa na riba kubwa ambayo imegeuka kuwa machungu. Na Mindi Joseph. Wanawake Kata yA Makole Jijini Dodoma wametajwa kuwa Waathirika wakubwa wa mikopo ya kausha damu na…
24 February 2023, 6:43 am
KISWAHILI: FURSA YA UKOMBOZI WA KIUCHUMI KWA WANAWAKE KUFIKIA UONGOZ…
NA KHADIJA RASHID, PEMBA “Kiswahili kimenifanya niwe maarufu ndani na nje ya nchi kwani nilikipenda tangu nipo skuli” “Licha ya kuwa maarufu nchi mbali mbali lakini pia tunapata maendeleo binafsi pamoja na kwenye nchi zetu” Si kauli ya mtu…
10 September 2022, 10:46 am
TAMWA Zanzibar: waandishi wa habari wanolewa kuwasaidia wanawake kuwa viongozi
Uwepo wa asilimia ndogo ya ushiriki wa wanawake katika ngazi za maamuzi ni changamoto moja wapo inayopelekea kutopatikana kwa maendeleo kwa baadhi ya taasisi. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa chama cha Waandishi wa Habari wanawake Tanzania – Zanzibar…
9 September 2022, 9:57 am
Jamii itoe taarifa kuhusu vitendo vya ukatili
RUNGWE-MBEYA. NA:LETHISIA SHIMBI Baadhi ya Wanawake Wilayani Rungwe mkoani Mbeya wameeleza namna wanavyoshiriki kutoa taarifa za vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii ili kuweza kutokomeza vitendo hivyo. Wakizungumza na chai fm BAHATI SIMON na MAIDASI NDAMU wamesema endapo vitendo…
20 July 2022, 2:00 pm
Athari za vilevi kwa wanawake wajawazi
Na; Benard Filbert. Matumizi ya vilevi kwa wanawake wajawazito imetajwa kuwa na athari kubwa ikiwepo kujifungua mtoto mwenye mgongo wazi. Hayo yanajiri kutokana na baadhi ya watoto wanaokutwa na tatizo la mgongo wazi kutajwa kusababishwa na mama zao kutumia vilezi…
19 July 2022, 1:59 pm
Wanawake watakiwa kutambua nafasi yao katika kuchangia maendeleo ya familia
Na; Victor Chigwada. Afisa maendeleo ya jamii katika Kata ya Msamaro Bi.Ngw’ashi Mhuli ametoa wito kwa wanawake kutambua kuwa wananafasi ya kuchangia maendeleo katika ngazi ya familia mpaka ngazi ya taifa Bi. Mhuli akizungumza na taswira ya habari amesema kuwa…
13 May 2021, 12:13 pm
Mama lishe zingatieni usafi ili kuepusha maambukizi ya homa ya Ini
NA; SHANI NICOLOUS. Wito umetolewa kwa mama lishe jijini Dodoma kuzingatia usafi katika shughuli zao, hususani wa vijiko vinavyotumika kulia chakula ili kuepusha maambukizi ya ugonjwa wa homa ya ini. Akizungumza na Taswira ya Habari daktari kutoka Hospitali ya Benjamini…