Radio Tadio

Wanawake

30 November 2023, 2:57 pm

TAMWA yahimizwa kuweka mkazo ajenda ya uhuru wa kujieleza

(TAMWA) tunaahidi kumuunga mkono kivitendo kwa sababu ni jukumu ambalo tumealianza tangu miaka 36 iliyopita. Na Alfred Bulahya. Chama cha wahandishi wa habari wanawake Tanzania (TAMWA) kimetakiwa kuweka mkazo mkubwa katika uhuru wa kujieleza unaojumuisha sauti za wanawake ndani ya…

29 November 2023, 4:42 pm

Wanawake watakiwa kujikita katika nyanja za siasa

Maadhimisho hayo yamehitimishwa leo Nov 29 Jijini Dar es salaam . Naibu Waziri wa Habari Kundo Mathew amesema matamanio yake ni kuona wanawake wapo katika nyanja za kisiasa kama ilivyo kwa rais Dkt Samia Suluhu Hassan Ameyasema hayo Nov 28,…

8 November 2023, 5:22 pm

Fawe yawafikia wajasiriamali Kusini Unguja

Mafunzo hayo ni utekelezaji wa mradi wa kuwawezesha wanawake kiuchumi unaoendeshwa na FAWE ndani ya mkoa wa Kusini Unguja ambapo jumla ya wajasiriamali 723 wamefikiwa  kati ya hao wanawake ni 671 na wanaume ni 53. Na. Ahmed Abdulla. Wajasiriamali kutoka…

2 October 2023, 10:44 am

Sekta ya madini kutengeneza mabilionea wanawake nchini

Sekta ya Madini imeendelea kukua kila siku huku kundi la wanawake likionesha nia kubwa ya kuwekeza katika sekta hiyo huku serikali ikiahidi kuwapa kipaumbele. Na Mrisho Sadick: Chama cha wachimbaji wadogo wanawake nchini TAWOMA kimeanzisha Tuzo za Malkia wa Madini…

29 August 2023, 3:43 pm

Serikali, wadau kushirikiana kukwamua wanawake kiuchumi

Mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 63.489 imetolewa na kuwanufaisha wanawake zaidi ya 938,800. Na WMJJWM. Serikali itaendelea kushirikiana na wadau ili kuhakikisha wanawake wanapata fursa mbalimbali za kujikwamua kiuchumi na kuendeleza biashara zao. Hayo yamesemwa na Waziri…