Radio Tadio

Utamaduni

26 Aprili 2025, 2:05 um

Vinara wa uchafu kupewa bendera wilaya ya Geita

“Na tukikupa bendera hii maana yake wewe ndio unaturudisha nyuma kwenye suala la usafi na unatakiwa kubadilika” – Mkuu wa wilaya ya Geita Na: Kale Chongela: Serikali wilaya ya Geita imeadhimisha siku ya kumbukizi ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar…

7 Aprili 2025, 5:42 um

Wananchi kata ya Chamwino washiriki zoezi la usafi usafi

Zoezi hilo ni enedelevu katika kata hiyo ambapo kila Jumamosi wananchi hujitokeza kwa ajili ya kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya kata hiyo. Na Lilian Leopord.Wananchi wa kata ya Chamwino jijini Dodoma wameshiriki katika zoezi la usafi wa mazingira katika…

1 Aprili 2025, 6:25 um

‘Wananchi wapatiwe elimu ya fursa za taka’

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), linawataka Watanzania kuanza kubadili mtazamo na kuziona taka kama fursa ya kuzirejeleza na kupata bidhaa mbalimbali na kujikomboa kiuchumi. Na Mariam Kasawa.Mamlaka za serikali za mitaa na halmashauri za wilaya…

21 Machi 2025, 9:55 mu

Mti uliokatwa wakutwa umesimama Mpomvu

Wakazi wa mtaa wa Mpomvu kata ya Mtakuja, halmashauri ya manispaa ya Geita wameshtushwa na hali ya mti uliopo katika kanisa la GGC uliokuwa umekatwa kukutwa umesimama. Na: Kale Chongela – Geita Wakizungumza na Storm FM Machi 20, 2025 baadhi…

4 Machi 2025, 12:15 um

Yafahamu Mazingira asili ya mkoa wa Dodoma

Licha ya Dodoma kufahamika kuwa na hali ya nusu jangwa lakini yapo mazao ambayo hulimwa wakati wa masika. Na Yussuph Hassani.Mwana fahari leo Yussu[h anasimuliza asili ya mazingira ya mkoa huu wa Dodoma katika mfululizo wa makala hii ya fahari…

20 Febuari 2025, 6:02 um

Mtaa wa changanyikeni Miyuji wageuzwa dampo la Taka

Halmashauri ya jiji la Dodoma imeomba kusaidia kutatua kero ya taka katika eneo hili ili wananchi waweze kuepukana na mrudikano wa taka pamoja na hatari ya kupata magonjwa ya mlipuko. Na Mariam Kasawa.Wakazi wa mtaa wa Changanyikeni kata ya Miyuji…

3 Febuari 2025, 7:24 um

Zaidi ya watu 2700 wafikiwa wiki ya sheria Bunda

Wananchi zaidi ya 2700 wamefikiwa wiki ya sheria wilayani Bunda baada ya kufika katika vituo vilivyokuwa vimeainishwa na wadau wa mahakama. Na Adelinus Banenwa Wananchi zaidi ya 2700 wamefikiwa wiki ya sheria wilayani Bunda baada ya kufika katika vituo vilivyokuwa…