Radio Tadio

Utamaduni

9 Febuari 2022, 3:22 um

Wananchi wametakiwa kujitokeza kuchukua miche ya miti

Na ;Thadei Tesha. Ofisi ya maliasili jijini Dodoma kwa kushirikiana na wakala wa misitu TFS wametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kuchukua miche ya miti kwa ajili ya kupanda kipindi hiki cha mvua. Akizungumza na taswira ya habari afisa…

31 Agosti 2021, 11:56 mu

Mnada wa Dabalo wakabiliwa na ukosefu wa matundu ya vyoo

Na; Beanrd Filbert. Ukosefu wa matundu ya vyoo katika mnada wa Dabalo kata ya Dabalo wilayani Chamwino imetajwa kuwa changamoto kwa wafanyabiashara hali inayoweza kuhatarisha afya zao. Hayo yameelezwa na Diwani wa kata ya Dabalo Bwana Isihaka Rajab wakati akizungumza…

30 Agosti 2021, 1:50 um

Uzalishaji wa maji taka umekuwa sababu ya kuharibu mazingira

Na;Yussuph hans, Uzalishaji uliokithiri wa majitaka umekuwa sababu kubwa ya kuharibika kwa mazingira pamoja na chanzo cha maradhi mbalimbali ya mlipuko katika jamii. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya Wakazi Mkoani Dodoma wamesema kuwa jamii imekuwa na ufahamu kuhusu madhara ya…

19 Agosti 2021, 1:06 um

Wakazi wa Dodoma watakiwa kuzingatia elimu ya kisiki hai.

Na;Yussuph Hans. Wakulima na wafugaji Mkoani Dodoma wameshauriwa kuzingatia elimu ya kisiki hai itakayowasaidia kuwa na kilimo bora pamoja na malisho ya kutosha kwa wanyama. Ushauri huo umetolewa na Mratibu wa Mradi wa kisiki hai Wilaya ya mpwapwa Olipa chipwaza…