Radio Tadio

Utamaduni

5 Agosti 2024, 17:05

Utupaji taka ovyo unavyo haribu mazingira

Wananchi wanapaswa kuendelea kutunza mazingira kwa kutotupa taka ovyo, kupanda miti ili kuifanya dunia kuwa mahali salama pa kuishi. Na Mariam Kasawa.Utupaji wa taka ovyo unatajwa kuharibu mazingira kwa kiasi kikubwa kwa kusababisha taka nyingi kusambaa ovyo. Jiji ya Dodoma…

2 Agosti 2024, 17:45

Taka rejeshi zatajwa kuwanufaisha kiuchumi baadhi ya wananchi

Kumekuwa na marundo mbalimbali ya taka kama chupa za plastiki, makaratasi, chuma, chupa, taka ambazo zinaweza kurejeleshwa na kutumika katka matumizi mengine mbadala na zikaleta faida. Na Mariam Kasawa.Wananchi wametakiwa kutambua kuwa taka rejeshi zikitumika ipasavyo zinaweza kusaidia watu wengi…

19 Julai 2024, 17:27

Jamii yakosa elimu ya kutosha juu ya utanganishaji wa taka

Ili kupata matokeo mazuri ni lazima kuweka misingi ya utekelezaji ikiwa ni pamoja ushirikishwaji wa umma, utekelezaji wa sheria na makubaliano kwa wadau mbalimbali wanaojihusisha na sekta ama teknolojia ya urejelezaji taka. Na Mariam Kasawa.Inaelezwa kuwa Mazingira safi ni kitovu…

18 Julai 2024, 15:19

Wasomi watakiwa kuwa mfano bora utunzaji wa mazingira

Vijana ni nguvu kazi ya taifa hivyo wanatakiwa kutambua wajibu wao katika kutunza na kuhifadhi mazingira pia kuwa mabalozi wazuri wa mazingira. Na Mariam KasawaVijana wa vyuo vikuu wametakiwa kutunza mazingira kwa kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo upandaji miti na uanzishaji…

7 Juni 2024, 9:11 mu

Wawili wachomwa moto kwa tuhuma za wizi Shinyanga

Vijana wawili waliofahamika kwa majina ya Bahati Dotto na Emma wakazi wa manispaa ya Shinyanga wamepigwa na wananchi wenye hasira kali na kisha kuchomwa moto hadi kupoteza maisha wakituhumiwa kujihusisha na matukio ya wizi. Tukio hilo limeteokea jana mtaa wa…

3 Juni 2024, 19:23

Maonesho ya siku ya mazingira yazinduliwa Jijini Dodoma

Urejeshaji wa ardhi iliyo haribiwa na ustahimilivu wa hali ya jangwa na ukame. Na Mariam Kasawa.Wananchi wametakiwa kutumia Bunifu na Teknolojia mbalimbali za utunzaji wa mazingira ili kunusuru mazingira. Maonesho ya siku ya mazingira ambayo kitaifa yanafanyika hapa Jijini Dodoma…