Radio Tadio

Utamaduni

15 Machi 2024, 18:40

Soko kuu Majengo lafanikiwa ukusanyaji taka.

Wananchi wanahimizwa kuendelea kuweka mazingira katika hali ya usafi huku wakitakiwa kufahamu kuwa kuweka takataka chini ni kosa kisheria. Na Mariam Kasawa.Soko Kuu la majengo jijini Dodoma limefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika zoezi la ukusanyaji yaka hali inayopelekea mazingira kuwa…

5 Machi 2024, 17:00

Ummy: Asilimia 9.8 ya watu nchini hawana vyoo

Waziri Ummy amezielekeza mamlaka kuhakikisha zinasimamia vyema matumizi ya vyoo kwa wasafiri wawapo safarini kwa kuhakikisha mabasi yanasimama kwenye maeneo rasmi ikiwemo stendi za mabasi . Na Mariam Kasawa. Takwimu zinaonesha kuwa asilimia 9.8 ya watu nchini hawana vyoo kabisa…

5 Febuari 2024, 18:02

Taka, chupa za plastiki ni mali katika mazingira

Kwa mujibu wa redio Vatican inasena chupa za plastiki ambazo zilipaswa kutumika tena, lakini sehemu kubwa ya shehena za chupa inaishia kuwa ni taka zinazoendelea kutupwa na hivyo kuhatarisha maisha ya watu wengi duniani chupa hizi kamwe hazitaoza na zitaendelea…

18 Disemba 2023, 12:54 um

Kyela:Kinanasi kutunukiwa Uchifu wilaya ya Kyela

Mbunge wa jimbo la Kyela Ally Mlaghila Jumbe Kinanasi anatarajiwa kuvikwa uchifu na jumuaiya ya wazee wa kimila wilaya ya kyela katika tukio litakalofanyika desemba 28 mwaka huu. Na Masoud Maulid Umoja wa wazee wa kimila maarufu Machifu na wasaidizi…

29 Septemba 2023, 10:46

Tulia traditional dances festival yafana Mbeya

Mziki ni sehemu ya maisha maisha ya binadamu,jamii inasisitizqwa kuenzi na kufuatilia mziki wa asili ili kudumisha mila,destri na tamaduni Na Ezra Mwilwa Mstahiki meya wa jiji wa Mbeya Dormohamed Issa amewataka wananchi wa mkoa wa Mbeya kuyatumia maonesho ya…

27 Agosti 2023, 7:58 um

Watanzania Tuenzi Mila na Desturi zetu-Mhe. Mkuchika

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe. Kapt Mstaafu George Mkuchika ameiasa jamii kuenzi mila na desturi za Tanzania ambazo ndio utambulisho wa Taifa hilo ndani na nje ya nchi, na kuacha kuiga utamaduni usiofaa wa Mataifa mengine.