Radio Tadio

Ulinzi

14 August 2023, 4:32 pm

Wawili mbaroni tuhuma kifo cha mwanafunzi wa chuo

Watu wawili wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha Tabora polytechic ambae alipotea kwa takribani siku kumi. Na Salma Abdul Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora kamishna msaidizi Richard Abwao amesema kuwa tukio…

12 August 2023, 10:03 am

Polisi Iringa yakamata meno ya tembo, silaha

Na Frank Leonard Oparesheni zinazoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa, zimewezesha kukamata vipande saba vya meno ya tembo pamoja na silaha mbili zinazomilikiwa kinyume cha sheria. Akizungumza leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema…

25 July 2023, 5:26 pm

Geita kuendelea kuwaenzi mashujaa kwa vitendo

Wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Geita wamejitokeza katika viwanja vya Mashujaa kuadhimisha kumbukumbu ya mashujaa waliojitoa maisha yao kwa ajili ya watanzania. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa mkoa wa Geita Mhe Martin Shigela amesema mkoa wa Geita utaendelea…

23 July 2023, 2:30 pm

Wakumbwa na mshangao kijana kufariki kwa kuchomwa kisu

Matukio ya kiuhalifu na kujichukulia sheria mkononi yamekithiri katika baadhi ya mitaa mkoani Geita, jambo linalosababisha baadhi ya vifo kutokea, huku wananchi wakishindwa kutoa taarifa katika vyombo husika juu ya uhalifu huo. Na Zubeda Handrish- Geita Katika hali ya kusikitisha…

19 July 2023, 10:33 am

Polisi kata hewa wachukuliwe hatua

Matukio ya uhalifu yakiwemo ya wizi na udokozi yameendelea kuwa changamoto katika baadhi ya mitaa na vijiji, jambo lililopelekea Kamanda Jongo kuwataka Polisi kata kuwajibika ipasavyo. Na Said Sindo- Geita Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Geita ACP Safia…

11 July 2023, 13:39

Vijana wa JKT Bulombora wametakiwa kuwa wazalendo kwa Taifa

Vijana wa Kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa JKT Bulombora kilichopo Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kuwa wazalendo kwa kulitumikia Taifa na kulinda amani ya Nchi. Na, Kadislaus Ezekiel Jeshi la Kujenga Taifa JKT, kikosi cha Jeshi 821 KJ Bulombora Kimesema…