Radio Tadio

Ulemavu

1 December 2023, 15:54

Wananchi Mbeya watakiwa kutowanyanyapaa watu wenye ulemavu

Watoto na watu wazima wenye ulemavu mara nyingi hukabiliwa na ubaguzi, unaosababisha kupungua kwa upatikanaji wa huduma za msingi za kijamii na kutotambuliwa kwa ujumla. Na Lameck Charles Jamii mkoani Mbeya imekumbushwa kuachana na tabia ya kuwanyanyapaa watu wenye ulemavu…

28 September 2023, 12:56

Serikali kushugulikia changamoto za viziwi

Watu wenye uziwi wamekuwa wakipitia changamoto mbalimbali za kijamii hali inayopelekea kushindwa kufikia malengo yao Na Samwel Mpogole Wizara ya afya imesema kuwa inatambua changamoto zinazo wakabili walemavu hivyo inaendelea kushirikiana na wadau kuhakikisha wanashughulikia kikamilifu. Hayo yameelezwa na Dibogo…

August 31, 2023, 9:19 am

Walemavu Makete wafanya Uchaguzi

Shirikisho la Vyama vya watu wenye ulemavu Wilayani Makete limefanya uchaguzi wa kuwapata viongozi wa Chama hicho na kumchagua BI. MARIA MSIGWA kuwa Mwenyekiti wa shirikisho hilo  Katika uchaguzi uliofanyika Agosti 30, 2023 katika ukumbi mdogo wa mikutano wa  halmashauri…

13 June 2023, 3:33 pm

Jamii yatakiwa kufufua ndoto za wenye ulemavu Iringa

Na Frank Leonard Wadau wa mtoto mkoani Iringa wameilaumu jamii wakisema ndiyo inayotengeneza mazingira ya watoto wenye ulemavu kutojiweza na kukosa fursa za maisha yaliyo jumuishi. Lawama hizo walizosema zinapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa ili kuleta suluhisho ya changamoto za…

24 April 2023, 4:28 pm

Watu wenye ulemavu wametakiwa kuchangamkia fursa

Kwa Sasa serikali imekuwa ikitoa fursa nyingi ambazo watu wenye ulemavu wanahaki ya kushiriki na kuwataka kuchangamkia kila fursa inayotolewa ikiwemo mikopo ya asilimia 10 ya  halamshauri ambayo kundi hilo litapata asilimia 2 . Na Fred Cheti. Wito umetolewa kwa…