Radio Tadio

Ulemavu

15 January 2025, 4:34 pm

Huduma za Mawasiliano za zidi kuimalika Sengerema

Sengerema ni miongoni mwa Halmashauri zilizonufaika na mradi wa ujenzi minara ya mawasiliano 758 nchini, ambapo minara miwili imekamilika na kuanza kutoa huduma kwa wananchi Sengerema. Na;Elisha Magege Jamii imetakiwa kutunza na kuilinda miundombinu ya mawasiliano inayoendelea kujengwa ili kuimalisha…

3 January 2025, 2:33 pm

Jafo aanika mafanikio ya Kisarawe

Moja ya mafanikio ni ujenzi wa shule nane za sekondari mpya na kuweka miundombinu mipya katika sekondari zote za zamani. Na Seleman Kodima.Mbunge wa Kisarawe ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo ameelezea mafanikio mbalimbali yaliyopatikana…

4 September 2024, 17:14

Wazazi waomba chakula shuleni kizingatie usafi

Ulaji wa chakula shuleni umeongeza ufaulu kwa wanafunzi wengi, hivyo wanafunzi wanapoandaliwa chakula inapaswa kuwepo na Mazingira ya usafi ili kuwaepusha na magonjwa ya tumbo ikiwemo kuhara. Na mwandishi wetu Baadhi ya wazazi na walezi jijini Mbeya wamewataka walimu kuwasimamia…

6 December 2023, 8:27 pm

Jaccafo yafanya maadhimisho ya watu wenye ulemavu Maswa

Jamii wilayani Maswa imeaswa kuwafichua watoto wenye ulemavu waliofungiwa majumbani ili waweze kuzifikia ndoto zao kielimu, kiuchumi  na kijamii. Na Alex Sayi Shiriki lisilo la kiserikali la Juniors and Child Care Foundation (JACCAFO) limefanya maadhimisho ya siku ya walemavu Duniani…

1 December 2023, 15:54

Wananchi Mbeya watakiwa kutowanyanyapaa watu wenye ulemavu

Watoto na watu wazima wenye ulemavu mara nyingi hukabiliwa na ubaguzi, unaosababisha kupungua kwa upatikanaji wa huduma za msingi za kijamii na kutotambuliwa kwa ujumla. Na Lameck Charles Jamii mkoani Mbeya imekumbushwa kuachana na tabia ya kuwanyanyapaa watu wenye ulemavu…