Radio Tadio

Ulemavu

4 September 2024, 17:14

Wazazi waomba chakula shuleni kizingatie usafi

Ulaji wa chakula shuleni umeongeza ufaulu kwa wanafunzi wengi, hivyo wanafunzi wanapoandaliwa chakula inapaswa kuwepo na Mazingira ya usafi ili kuwaepusha na magonjwa ya tumbo ikiwemo kuhara. Na mwandishi wetu Baadhi ya wazazi na walezi jijini Mbeya wamewataka walimu kuwasimamia…

6 December 2023, 8:27 pm

Jaccafo yafanya maadhimisho ya watu wenye ulemavu Maswa

Jamii wilayani Maswa imeaswa kuwafichua watoto wenye ulemavu waliofungiwa majumbani ili waweze kuzifikia ndoto zao kielimu, kiuchumi  na kijamii. Na Alex Sayi Shiriki lisilo la kiserikali la Juniors and Child Care Foundation (JACCAFO) limefanya maadhimisho ya siku ya walemavu Duniani…

1 December 2023, 15:54

Wananchi Mbeya watakiwa kutowanyanyapaa watu wenye ulemavu

Watoto na watu wazima wenye ulemavu mara nyingi hukabiliwa na ubaguzi, unaosababisha kupungua kwa upatikanaji wa huduma za msingi za kijamii na kutotambuliwa kwa ujumla. Na Lameck Charles Jamii mkoani Mbeya imekumbushwa kuachana na tabia ya kuwanyanyapaa watu wenye ulemavu…

28 September 2023, 12:56

Serikali kushugulikia changamoto za viziwi

Watu wenye uziwi wamekuwa wakipitia changamoto mbalimbali za kijamii hali inayopelekea kushindwa kufikia malengo yao Na Samwel Mpogole Wizara ya afya imesema kuwa inatambua changamoto zinazo wakabili walemavu hivyo inaendelea kushirikiana na wadau kuhakikisha wanashughulikia kikamilifu. Hayo yameelezwa na Dibogo…

August 31, 2023, 9:19 am

Walemavu Makete wafanya Uchaguzi

Shirikisho la Vyama vya watu wenye ulemavu Wilayani Makete limefanya uchaguzi wa kuwapata viongozi wa Chama hicho na kumchagua BI. MARIA MSIGWA kuwa Mwenyekiti wa shirikisho hilo  Katika uchaguzi uliofanyika Agosti 30, 2023 katika ukumbi mdogo wa mikutano wa  halmashauri…