Ufugaji
15 May 2026, 8:53 pm
CCM Bunda yakanusha kubeba watu kwenye mikutano
Gasper amesema chama hicho kina utaratibu wake na wakati wa ziara za viongozi huundwa kamati mbalimbali ambazo huratibu mikutano ambapo moja ya kamati hizo huwa ni ya usafiri. Na Adelinus Banenwa Chama cha mapinduzi wilaya ya bunda kimekanusha uvumi ambao…
27 April 2026, 16:24
DC Uvinza ahimiza usafi wa mazingira
Mkuu wa Wilaya Uvinza mkoani Kigoma amesema wananchi hawana budi kuzingatia suala la usafi wa mazingira ili kuhakikisha wanaepukana na mazingira ambayo yanaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko. Na Mwandishi wetu Wananchi wa Wilaya ya Uvinza wameungana kushiriki shughuli za usafi…
22 April 2026, 15:46
Idara ya mazingira Kigoma MC yatakiwa kuondoa taka
Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji imeanza kutekeleza zoezi la uondaaji wa taka zilipo katika vizimba ikiwa ni mkakati wa kufanya mji wa Kigoma kuwa msafi. Na Mwandishi wetu Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kigoma Mjini…
2 March 2026, 3:28 pm
Wananchi wachekelea bwawa la Iziwasungu
Balozi Baraka Luvanda akipokea maelekezo kutoka kwa mkurugenzi wa halmashauri ya Mpimbwe. Picha na Samwel Mbugi “Mradi huu umetutoa katika shida na masikitiko” Na Samwel Mbugi Wananchi wa Kata ya Kansansa halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele wametoa shukrani kwa…
13 February 2026, 8:16 pm
Serikali yaendelea kutambua mchango wa vyombo vya habari
Leo ikiwa ni siku ya redio duniani, mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema serikali inaendelea kutambua mchango wa vyombo vya habari kwa kuwa vinaelimisha jamii. Na Mzidalfa Zaid Akiongea na fm Manyara radio, Sendiga amesema mchango wa vyombo…
28 January 2026, 9:47 pm
CCM Bunda watakiwa kuvaa sare, kuondoa kava kwenye pikipiki
Hofu kwa wanachama wa CCM ilikuwa ni kubwa kutokana na matukio ya vurugu za baada ya uchaguzi lakini kwa sasa viongozi wamejiridhisha kuwa hali ni shwari. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wanachama wa chama cha mapinduzi CCM kurejea katika…
25 July 2025, 3:27 pm
NACOPHA yaipongeza serikali mapambano ya VVU
Hadi sasa serikali imefanikiwa kufikia asilimia 90 ya watu wanaotambua hali yao ya maambukizi, asilimia 98 wapo kwenye tiba, na asilimia 98 wamefubaza virusi. Na: Ester Mabula Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Tanzania (NACOPHA) limetoa…
31 August 2023, 10:21 pm
Wafugaji watakiwa kunenepesha mifugo
Kulisha ng’ombe kwa kutumia aina yoyote ya malisho, haitoshi kuwa na ng’ombe mwenye afya nzuri na maziwa ya kutosha, hili limemuinua Afisa Mifugo na kutoa elimu kwa wafugaji. Na Kale Chongela- Geita Wafugaji wa ng’ombe mjini Geita wametakiwa kuipatia mifugo…
28 August 2023, 1:34 pm
Wafugaji wa Nyuki Geita watakiwa kufuga kisasa
Ufugaji wa Nyuki umeendelea kuongezeka kwa kasi Mkoani Geita na maeneo mbalimbali huku idadi kubwa ya watu wanaoingia kwenye ufugaji huo wakiwa hawajui kanuni za ufugaji. Na Kale Chongela: Wafugaji wa Nyuki katika Kata ya Buhalahala wilayani Geita Mkoani Geita…
7 July 2023, 13:41
Wafugaji Kilosa washauriwa kufuga kibiashara
Serikali imelenga kutoa elimu ya shughuli za kimaendeleo katika sekta ya ufugaji kwa vijana hususan wazawa ambao baada ya mafunzo hayo watakuwa mabalozi wazuri wa kusambaza elimu ya ufugaji wa kisasa katika ngazi ya familia na jamii nzima kwa ujumla…