Radio Tadio

Siasa

30 November 2023, 22:13

Kumekucha uchaguzi CHADEMA Kyela

Hekaheka za kuwapata viongozi wa nafasi mbalimbali ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo zimepamba moto hapa wilayani Kyela mkoani mbeya. Na James Mwakyembe Zoezi la uchukuaji fomu kugombea nafasi mbalimbali ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA limeanza…

20 November 2023, 8:10 pm

Opareshen peperusha bendera ilivyofana Kata Kayanga – Karagwe

Ziara ya oparesheni peperusha bendendera imelenga kuhamasisha masuala ya utawala bora, kuhamasisha kusajiliwa kwa njia ya elektronik, kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2025 pamoja na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo. Na Ospicia Didace Viongozi wa Chama…

13 November 2023, 3:27 pm

Familia ya Mwansasu yawashukuru watanzania

Jamii imeshauriwa kuwaombea viongozi wa serikali ili waweze kuwatumikia kwa moyo Mh,Tulia akiwashukuru wana Rungwe kwa kumuombea kwenye shuguli za Serikali [picha na lennox mwamakula] RUNGWE.MBEYA Na Lennox mwamakula Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson…

10 November 2023, 16:17

Lulandala:Iweni walinzi na watetezi wa chama na serikali

katibu mkuu wa UVCCM Fakii Lulandala amewataka vijana wa UVCCM kuwa walinzi na watetezi wa chama na serikali katika utekelezaji wa maendelo kupitia ilani ya CCM. Wito huo ameeutoa katika ofisi za chama cha mapinduzi sokomatola jijini mbeya wakati akizungumza…

10 November 2023, 4:07 pm

Makonda azulu kaburi la JPM Chato

Ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Makonda amezulu kaburi la Maguli leo hii. Na Mrisho Sadick- Geita Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Paul Makonda akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake Kanda ya Ziwa, leo November 10, 2023…

10 November 2023, 3:59 pm

Makonda atua Chato, asema Rais Samia hana ubaguzi

Akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake Kanda ya Ziwa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda , leo November 10, 2023 amefika wilayani Chato na kuzungumza na wananchi. Na Mrisho Sadick- Geita Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na…