Radio Tadio

Nishati

5 Machi 2025, 21:50

SDA,TASA, SSDM na tamasha la usawa wa kijinsia Mtwara

Kila ifikapo March 8 ya kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya Mwanamke Duniani dhamira ikiwa kutambua mchango mkuu unaotolewa na Mwanake katika jamii hivyo kuelekea siku hiyo shirika la SDA,TASA na SSDM wamefanikisha kupeleka ujumbe juu ya haki ,usawa na…

17 Febuari 2025, 19:06

Simba SC yatua Mtwara, kuwakabili Namungo Feb 19 Ruangwa

Katika misimu miwili iliyopita simba sc haijawahi kushinda mchezo wowote wa ligi kuu katika uwanja wa Majaliwa dhidi ya Timu ya Namungo ,katika michezo miwili waliyocheza katika miimu hiyo miwili wameambulia kupata sare. Na Musa Mtepa Timu ya soka ya…

10 Novemba 2024, 08:44

DC Mtwara azindua uchaguzi Ndile Cup

Huu ni msimu wanne wa  mashindano hayo ambayo yamekuwa yakijigeuza kila mwaka kutokana na matukio makubwa ya kitaifa   ambapo mwaka 2022 yalitwa Sensa Ndile Cup na mwaka yanajulikana na kama Uchaguzi Ndile Cup. Na Musa Mtepa Mkuu wa Wilaya ya…

11 Oktoba 2024, 18:34

Sendiga katika foleni kujiandikisha daftari la mkazi.

Zoezi la kujiandikisha katika daftari la mkazi katika mtaa wa mrara kata ya Babati wilayani Babati mkoani Manyara limeanza rasmi leo  ambapo wananchi  wametakiwa kujitokeza katika zoezi hilo ili watimize haki yao ya kikatiba ya  kuchagua viongozi wao wa  mtaa…

30 Septemba 2024, 16:55

Wakulima wa pamba Shinyanga wafundwa kilimo bora

Maafisa ugani katika kata 119 miongoni mwa kata 130 wamepatiwa pikipiki pamoja na vyombo vya kupimia ubora wa ardhi ili kuwafikia wakulima huku akiweka wazi kushuka kwa uzalishaji wa zao hilo katika mkoa wa Shinyanga. Na Sebastian Mnakaya Mkuu wa…

27 Septemba 2024, 19:35

Serikali yawaonya wananchi watakaovuruga uchaguzi

Wakati serikali ikiendelea na maandalizi ya uchaguzi wa serikli za mitaa, wananchi wilayani Babati mkoani Manyara wametakiwa kushiriki uchaguzi huo kwa amani na utulivu. Na Mzidalfa Zaid Wananchi wilayani Babati mkoani Manyara ambao wamekidhi vigezo vya kupiga kura wamehimizwa kujitokeza…