Miundombinu
14/04/2023, 13:59
RAS Dodoma aridhishwa na utekelezaji wa Miradi Bahi.
Gugu ameeleza kuridhishwa kwa kiasi kikubwa na utekelezaji wa miradi hiyo na kutoa pongezi kwa uongozi wa halmashauri. Na Bernad Magawa. Katibu tawala wa mkoa wa Dodoma Ally Gugu ameeleza kufurahishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo wilayani Bahi huku…
11/04/2023, 15:57
Wafugaji Bahi watakiwa kuheshimu miundombinu ya barabara
Mifugo inapopitishwa kwenye barabara inaharibu miundombinu ya barabara na kusababisha hasara kubwa kwa serikali pamoja na wananchi wanaoishi katika maeneo husika. Na Bernad Magawa. Wito umetolewa kwa wafugaji na wafanyabiashara wa mifugo wilayani Bahi kulinda na kuheshimu miundombinu ya barabara…
11 Aprili 2023, 11:32 mu
Mbunge Kabati aomba serikali kukarabati Barabara ya Mtandika kwenda ikula
Wanawake wajawazito wamekuwa wakipata shida wanapotaka kwenda kujifungua kutokana na ubovu wa Barabara hiyo. Na Hafidh Ally Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa Dkt. Ritta Kabati amehoji mpango wa serikali kukarabati Barabara ya Mtandika – ikula ambayo imekuwa kero…
10 Aprili 2023, 4:54 um
Wananchi Kayenze Walia na TARURA
KATAVI Wananchi wa Kayenze Kata ya Katuma Halmashauri ya Tanganyika mkoani Katavi wamewaomba Wakala wa barabara Vijijini TARURA kurekebisha Barabara ya Sibwesa Katuma inayopita katika eneo lao. Wameiambia Mpanda Radio kuwa wanapata adha ya usafiri na kushindwa kufanya baadhi ya…
05/04/2023, 15:00
Chinuguli waomba kuongezewa nguzo za umeme
Wamesema hali hiyo inatokana na idadi ndogo ya nguzo zilizopo katika kijiji hicho ambazo zimeelekezwa katika Taasisi mbalimbali. Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Chinuguli Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwaongezea idadi ya nguzo za nishati ya umeme ili…
05/04/2023, 13:21
Tozo za mafuta na dizeli kujenga km 36 barabara wilayani Bahi
Kukamilika kwa barabara hiyo ambayo inajengwa kwa kiwango cha changarawe kutachochea maendeleo ya wananchi wa maeneo hayo. Na Benard Magawa Zaidi ya shilingi Millioni 919 za Tozo ya mafuta ya dizeli na Petrol kutoka serikali kuu zinatarajia kukamilisha ujenzi wa…
04/04/2023, 15:20
Mteremko mkali tishio kwa maafisa usafirishaji kisima cha nyoka
Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wamesema kuwa ni vyema serikali kuendelea kuboresha mazingira ya miundombinu ya barabara kutokana na umuhimu wake katika shughuli mbalimbali za kijaamii pamoja na kiuchumi. Na Thadei Tesha. Baadhi ya vijana wanaojihusisha na biashara…
4 Aprili 2023, 5:55 mu
Wananchi Makongolo Walia na Ukosefu wa Maji
MPANDA Wananchi wa kijiji cha Makongolo kata ya magamba halamshauri ya manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameulalamikia uongozi wa kijiji hicho kwa kushindwa kutatua changamoto ya maji ambayo imekuwa kikwazo katika shughuli zao za kila siku. Wakizungumza na kituo hiki…
30/03/2023, 17:34
Katibu mkuu aridhishwa na maendeleo ya miradi ya ujenzi
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameridhishwa na maendeleo ya miradi ya ujenzi inayosimamiwa na Ofisi hiyo. Na Seleman Kodima. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameridhishwa na…
29 Machi 2023, 8:29 mu
Wananchi kata ya Nsemulwa walia na barabara
MPANDA Baadhi ya wananchi wa Kata ya Nsemlwa Halmashuri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameiomba serikali kutengeneza miundombivu mibovu ya barabara iliyopo katika kata hiyo katika kipindi hiki cha mvua za masika ili kuwaondolea adha wanayokutana nayo. Wakizungumza na…