Radio Tadio

Miundombinu

27 March 2023, 15:42

Wananchi washiriki ujenzi wa barabara Bahi sokoni

Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Bahi sokoni wamejitokeza kwa wingi kushiriki Ujenzi wa Barabara inayotarajiwa kuunganisha mawasiliano ya wananchi wa kijiji hicho na kitongoji cha Sanduli ambacho hakikuwa na barabara. Barabara hiyo ambayo inajengwa kwa nguvu za wananchi…

25 March 2023, 12:38 am

Wananchi Kayenze wajipanga kuchangishana kujenga choo cha soko

KATAVIKijiji cha Kayenze kata ya Katuma Wilayani Tanganyika mkoani Katavi kimepanga kuchangishana kwa ajili ya ukamilishaji wa Jengo la Choo katika Soko Linalomilikiwa na kijiji. Diwani wa kata ya katuma Paulo Pamasi ameiambia mpanda Radio kuwa kuanzia mwezi ujao mara…

22 March 2023, 19:23

Wananchi Bahi waomba kupunguziwa gharama za kuunganishiwa umeme

Wananchi wilayani Bahi wameliomba shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kuwapunguzia gharama za kuunganishiwa umeme kwa matumizi ya nyumbani. Na Benard Magawa. Wananchi wilayani Bahi wameliomba shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kuwapunguzia gharama za kuunganishiwa umeme kwa matumizi ya nyumbani kutoka…

21 March 2023, 17:06

Wahandisi wa SGR watakiwa kusimamia fidia za wananchi

Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Gondwe ametoa maelekezo kwa wahandisi wanaosimamia mradi wa reli ya treni ya Mwendo kasi kuhakikisha wanashughulikia kero wananchi ambao hadi sasa hawajalipwa fidia za ardhi. Na Bernad Magawa. Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa…

20 March 2023, 15:25

Taka ngumu zatajwa kuharibu mifumo ya maji taka

Jiji la Dodoma linakisiwa kuzalisha tani 350 za taka ngumu kwa siku ambapo kata za nje ya mji uzalishaji tani 114 na Kata za mjini uzalisha ni tani 236. Na Mindi Joseph. Utupaji wa taka Ngumu Ovyo umetajwa kuwa na…

11 March 2023, 18:05

Watendaji kata wakabidhiwa pikipiki Kilosa

Katika kurahisisha utendaji kazi wa kuyafikia maeneo yote yaliyopo katika kata serikali imewapatia maafisa watendaji kata pikipiki ambazo zitawasaidia kuwafikisha maeneo ambayo walikua hawayafikii kiurahisi kutokana na umbali uliopo. Awali viongozi wa kata walikua wanakabiliwa na changamoto ya usafiri kwa…

10 March 2023, 16:37

Nzuguni waeleza kunufaika na Barabara

Wakazi hao wameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa barabara inayoelekea Nzuguni B sambamba na kutoa elimu ya matumizi ya alama za barabarani. Na Thadei Tesha Baadhi ya wananchi wanaojishughulisha na biashara mbalimbali katika eneo la Nzuguni Boda jijini Dodoma wamesema kukamilika…