Radio Tadio

Mazingira

15 December 2023, 2:23 pm

Wananchi waaswa juu ya usafi wa mazingira

Wananchi Katavi washauriwa kuweka mazingira katika hali ya usafi ili kutokomeza mazalia ya mbu. Na Leah Kamala – Mpanda Wananchi Maanispaa ya Mpanda mkoani Katavi  Katavi wameshauriwa kuweka mazingira katika hali ya usafi ili kutokomeza mazalia ya mbu katika msimu huu…

11 December 2023, 16:29

Kyela:”Tunaogopa kuingia mtoni kisa mamba”

Baadhi ya wananchi wanaouzunguka mto mbaka hapa wilayani Kyela wameiomba serikali ya halmashauri ya wilaya kyela kuwavuna mamba wanaongezeka kwa kasi katika mto mbaka. Nsangatii Mwakipesile Kufuatia ongozeko la wanyama aina ya mamba ndani yam to mbaka hapa wilayani Kyela…

6 December 2023, 18:06

Wananchi Kyela wakimbia nyumba zao kwa harufu ya mizoga

Wakaazi wa kitongoji cha roma wanaokizunguka kizimba cha Roma wameitaka serikali ya mamlaka ya mji mdogo wa Kyela kuziondoa taka zinazozagaa katika kizimba hicho ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko. Na Nsangatii Mwakipesile Kufuatia kuwepo kwa kadhia ya harufu mbaya…

6 December 2023, 8:22 am

Vyoo, visima na nyumba vyazingirwa na maji Ibolelo, Geita

Ni moja ya eneo lililopo mtaa wa Ibolelo, kata ya Nyankumbu mjini Geita ambalo limeathirika na mvua, Je wananchi wanaishi vipi katika mazingira haya?. Na Evance Mlyakado- Geita Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Geita zimeendelea kuleta…

4 December 2023, 17:46

Uyole watumia vichaa kutupa taka mitaroni

Na Samwel Ndoni Baadhi ya wakazi wa bonde la Uyole jijini Mbeya wanadaiwa kuwatumia watu wenye ulemavu wa akili ‘vichaa’  kutupa taka kwenye makazi ya watu na mitaro huku wakiwalipa ujira wa sh.500. Hatua hiyo inatajwa kukwamisha juhudi za usafi…

7 November 2023, 5:13 pm

Wananchi Ihumwa A waomba kutengewa eneo la kuhifadhi taka

Hali hii inashangaza kuona mtaa huo ambao haupo mbali na ulipo mji wa serikali ukikosa mzabuni wa kukusanya takataka  na wananchi wakichoma takataka katika maeneo yao wakati sheria zipo na miongozo ya udhibiti na utunzaji wa mazingira . Na Victor…