Radio Tadio

Mazingira

5 Aprili 2023, 5:16 um

Ishi na mti kauli njema ya kutunza mazingira

Kampeni ya ISHI NA MTI ni kampeni iliyoanzishwa na Kampuni ya Dodoma Media Group kwa lengo la kuunga mkono juhudi za serikali katika utunzaji wa Mazingira hasa upandaji wa miti katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dodoma. Na Fred Cheti.…

4 Aprili 2023, 6:18 um

Taka ngumu zageuka ajira na kipato

Hapa nchini pia hatua mbalimbali zimekua zikichukuliwa na serikali katika kuyahifadhi mazingira. Na Fred Cheti. Uhifadhi wa mazingira unatajwa kuwa ni moja ya hatua muhimu kutokana na kuwa rasilimali ardhi pamoja na kua nguzo kuu katika maendeleo ya nchi mbalimbali…

3 Aprili 2023, 5:43 um

Serikali yendelea kuhamasisha utunzaji wa mazingira

Serikali kwa kushirikiana na wadau wengine wa mazingira imekuwa ikiiendeleea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa utunzaji wa mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Na Fred Cheti. Serikali imekuwa ikihamasisha makundi mbalimbali katika jamii kushiriki katika utunzaji wa…

29 Machi 2023, 8:05 um

Mwanakijiji asalimisha silaha aina ya Gobole kwa Mhifadhi wa Ruaha

Elimu ya Uhifadhi inayotolewa na wahifadhi katika maeneo yanayozunguka hifadhi ya taifa ya Ruaha imesaidia wananchi kusalimisha silaha wanazotumia kufanya ujangili. Na Vitor Meena Hifadhi ya Taifa ya Ruaha Mkoani Iringa, imeendelea na ziara ya kuzungukia Vijiji vinavyozunguka hifadhi hiyo…

20 Machi 2023, 5:05 um

Miti yapandwa kituo cha afya Kazima

KATAVI Wanawake wa kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania [KKKT ]na Wanawake wakatoliki wa Tanzania [WAWATA]jimbo la Mpanda wameeleza umuhimu wa utunzaji mazingira ikiwa ni pamoja na upandaji wa miti. Wameyasema hayo wakati wa zoezi la upandaji miti ambalo limefanywa…

22 Febuari 2023, 6:28 um

Sheria ya Mita 60 Bado Changamoto

MPANDA Utekelezaji wa sheria ya kutofanya shughuli za kibinaadamu ndani ya mita 60 kutoka mtoni umekuwa bado una changamoto kwa wakazi wanaoishi karibu na maeneo ya mito licha ya msisitizo kuhusu sheria hiyo. Baadhi ya wakazi wanaoishi kuzunguka mto Mpanda…

22 Febuari 2023, 6:18 um

Mtapenda Yaendeleza Kampeni ya Upandaji Miti

NSIMBO Katika kuunga mkono Kampeni ya serikali ya upandaji wa miti kata ya Mtapenda Halmashauri Ya Nsimbo Mkoani Katavi imeanza zoezi la upandaji wa miti katika vijiji vyake kwa lengo la kuendelea kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Wakizungumza na…

22 Febuari 2023, 12:54 um

Agizo,DC Iringa Upandaji wa Miti

Kulingana na jiografia ya mkoa wa Iringa kupandwa Kwa miti hiyo Kando ya barabara kutachochea utunzaji wa mazingira pia itasaidia kupunguza athari za ajali hasa katika maeneo yenye milima na maporomoko. Na Hawa Mohammed. Serikali ya Wilaya ya Iringa imeagiza…