Mazingira
14 Julai 2023, 13:04
Nyatwali: Miti yakatwa, nyaraka za tathmini ya fidia zachukuliwa mikopo kisa ugu…
Baadhi ya wakaazi wa Nyatwali waanza kutumia nyaraka zao za tathmini ya fidia kuchukulia mikopo kwa ahadi ya kurejesha watakapolipwa huku wengine wakikata miti kwa ajili ya mkaa na kuuza ikielezwa ni kutokana na ugumu wa maisha. Na Edward Lucas…
30 Juni 2023, 10:07 mu
Mpimbwe: Juhudi ziongezwe uhifadhi mazingira
MLELE Jamii katika halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoani Katavi imeaswa kuongeza juhudi katika kuhifadhi mazingira. Akifungua mkutano wa mwaka wa Jumuiya za watumia maji ngazi ya Jamii zilizo chini ya wakala wa usambazaji Maji na usafi na mazingira…
26 Juni 2023, 13:37
NEMC, TBS zakutana kujadili katazo vifungashio vya plastiki
Vifungashio visivyo kidhi ubora vinatajwa kuleta athari katika mazingira. Na Fred Cheti. Baraza la uhifadhi na usimamizi wa mazingira (NEMC) limekutana na shirika la viwango nchini (TBS) na kufanya kikao kazi kwa lengo la utekelezaji wa katazo la matumizi ya…
24 Juni 2023, 09:38
Mafinga Mji wagawa vifaa vya usafi
Na Sima Bingileki Halmashauri ya Mji Mafinga imekabidhi vifaa 11 vya kutunzia taka kwa uongozi wa Stendi Kuu ya mabasi Mafinga na Stendi ya Matanana lengo likiwa ni Kuimarisha Usafi wa Mazingira na uhifadhi mzuri wa taka hasa katika maeneo…
Juni 23, 2023, 7:40 mu
Mwenyekiti wa kitongoji akabidhiwa bendera nyekundu kitongoji chake kuwa kichafu
Mwenyekiti wa Kitongoji akikabidhiwa Bendera nyekundu inayoaashiria uchafu na alama ya hatari katika Kitongoji chake
13 Juni 2023, 12:39
Serikali yataka mapendekezo sheria ya sauti zinazozidi katika nyumba za ibada
Kongamano hilo lina lengo la kujadili na kuwajengea uelewa viongozi wa madhehebu ya dini nchini juu ya kufahama athari zinazoweza kutokana na kelele na mitetemo katika nyumba za ibada ili wakawe mabalozi kwa waumini wao. Na Fred Cheti. Serikali imewataka…
8 Juni 2023, 14:34
Makala: NEMC Mtwara yateketeza taka za plastiki
Na Musa Mtepa. Siku ya mazingira duniani Juni 6, 2023 Baraza la taifa la uhifadhi wa mazingira mkoani Mtwara (NEMC) imeadhimishwa mkoani Mtwara kwa kuteketezwa kwa taka za plastiki zaidi ya kilo 600 zenye thamani ya shilingi milioni nne. Akizungumza…
Juni 8, 2023, 10:29 mu
Zimamoto: Wananchi kuwa makini uchomaji moto kipindi cha kiangazi
Hali ya uchoamaji moto Makete
7 Juni 2023, 10:15 mu
Marufuku kufyatua tofali Bonde Mto Misunkumilo
MPANDA. Kufuatia katazo la kufanya shughuli za ufyatuaji tofali katika eneo la bonde la mto Misunkumilo mtaa wa Mpanda Hotel serikali ya kata imepiga marufuku shughuli hizo. Akizungumza na Mpanda Radio Fm afisa mtendaji wa kata hiyo Carolina Medadi Yohana…
7 Juni 2023, 10:09
DC Kilombero: Zingatia matumizi sahihi uhifadhi mazingira
“Nawaagiza wananchi wa kijiji cha Chiwachiwa pamoja na viongozi kutunza na kuhakikisha miti 500 iliyopandwa katika shule ya msingi Chiwachiwa inakua”. Mkuu wa wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya Na; Katalina Liombechi Imeelezwa kuwa katika kijiji cha Chiwachiwa halmashauri ya…