Radio Tadio

Mawasiliano

2 December 2025, 7:16 pm

Maambukizi ya VVU yaongezeka Pangani

“Sisi wana Pangani tukiweka nguvu za pamoja tutaweza kutokemeza janga hili na wilaya yetu inaendelea kupambana na gonjwa hili katika jamii zetu”. Amesema Bi. Sophia Kabome Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani. Na Rajabu Mrope Maambukizi ya Virusi…

3 October 2025, 12:19 pm

Vijana wa kike jamii ya wafugaji wanaingia kwenye siasa?

Na Dorcas Charles-Kurunzi Maalum Idadi ndogo ya vijana wa kike kutoka jamii za kifugaji katika Wilaya ya Simanjiro wanaojitokeza kugombea nafasi za uongozi inazua maswali mengi juu ya ushiriki wa wanawake vijana katika siasa. Hali hii inajiri wakati nchi ikiendelea…

September 26, 2025, 9:07 am

EFAD yagusa maisha ya watoto Songwe

Kupunguza utoro shuleni na kuongeza utulivu wa watoto shuleni Na Devi Mgale Shirika lisilokuwa la kiserikali la Elisha Youth Support Foundation (EFAD) lililopo wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe limetoa kilo 420 za Mahindi kwa watoto wanaoishi mazingira magumu katika…

18 July 2025, 11:50 am

Madereva, makondakta Katavi wapewa onyo

Baadhi ya madereva na makondakta wa stendi ya zamani. Picha na Leah Kamala “Ni marufuku kufungua mlango gari likiwa linatembea” Na Leah Kamala Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa malalamiko yao kuhusiana na tabia ya makondakta…

13 June 2025, 5:12 pm

Zingatieni sheria na miongozo ya uchimbaji-DC Mpanda

“Changamoto zilizopo ni kutokutekelezwa kwa sheria ya usalama mahala pa kazi” Na Anna Mhina Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph amewataka wachimbaji wa madini kuzingatia sheria na miongozo ya uchimbaji ili kutosababisha madhara yanayoweza kuepukika. Jamila ameyasema hayo kwenye…

8 May 2025, 13:56

Kilio kisichosikika utelekezaji watoto Kigoma

Kwa mujibu wa Takwimu za Ofisi ya Ustawi wa Jamii, kati ya mwezi March hadi April mwaka 2025 pekee kuna zaidi ya watoto 150 walitelekezwa katika Wilaya ya Kigoma. Hii leo wengi wa watoto hawa wanaishi mtaani, hawawajui wazazi wao…

18 December 2024, 7:09 pm

Zimamoto Mara watoa tahadhari kuelekea sikukuu

Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Mara limewataka wananchi wote kuchukua tahadhari za usalama kuelekea sikukuu za kufunga mwaka 2024. Na Adelinus Banenwa Akizungumza kupitia kipindi cha Duru za habari ndani ya studio za radio Mazingira Fm Mrakibu wa…

10 October 2024, 5:11 pm

Zaidi ya wananchi 350 Manyara wapatiwa huduma ya macho

Mganga mfawidhi wa hospital ya halmashauri ya mji wa Babati(Mrara) Dr Gillian Francis  Lupembe amesema Idadi ya wagonjwa waliokwenda kupata huduma ya matibabu ya macho  imekuwa kubwa kutokana na  watu wengi wanachangamoto  ya uoni. Na Marino Kawishe Zaidi ya wananchi…