Maji
27 December 2023, 20:03
Kyela:Serikali kumtua ndoo mwanamke Kyela
Jumla ya shilingi bilioni nne zimetolewa na serikali ya Tanzania kwa wananchi wilayani Kyela ili kukamilisha mradi wa ujenzi wa mtandao wa maji safi na salama kutoka halmashauri ya Busokelo. Na Masoud Maulid Wananchi wilayani Kyela wameanza kuwa na matumaini…
16 December 2023, 12:01 pm
DC Maswa: Wananchi tunzeni vyanzo vya maji
Wadau wa maji na Wananchi watakiwa kutunza vyanzo vya maji ili kuweza kukabiliana na ukame unaosababishwa na shughuli za kijamii pamoja na mabadiliko ya tabia nchi Na Daniel Manyanga Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Mhe.Aswege Kaminyoge amewataka Wananchi…
15 December 2023, 10:07
Milioni 430 zaondoa kero ya maji kata ya Businde Kigoma
Wakazi wa kata ya Businde Manispaa ya Kigoma Ujiji wameondokana na adha ya ukosefu wa maji safi na salama baada ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa mazingira (KUWASA) kukamilisha mradi wa bomba la maji lenye urefu wa kilometa…
12 December 2023, 10:11 pm
Ruwasa Katavi kuongeza ukusanyaji mapato kupitia mfumo mpya wa malipo
Picha na Mtandao Mfumo huo utasaidia katika ukusanyaji mapato kwa kuwa wateja watalipia bili za huduma ya maji kwa njia ya simu na fedha hizo kuingia katika mfumo wa malipo ya serikali. Na Betord Benjamini- Katavi Wakala wa Maji na…
12 December 2023, 4:43 pm
Maryprisca: Vitongoji vyote Tiring’ati kupata maji ya ziwa Victoria
Naibu Waziri wa Maji Mhe Maryprisca Mahundi amefanya ziara katika jimbo la Bunda huku akiahidi vitongoji vyote vya kijiji vha Tiring’ati kupatiwa huduma ya maji. Na Adelinus Banenwa Naibu Waziri wa Maji Mhe Maryprisca Mahundi amefanya ziara katika jimbo la…
29 November 2023, 8:08 am
Tume kuundwa kufatilia miradi ya maji jimbo la Bunda
Naibu Katibu mkuu wizara ya maji Mhandisi Mwajuma Waziri ameagiza kuundwa kwa tume maalum ya kufuatilia miradi yote ya maji jimbo la Bunda ambayo inaonekana kukamilika wakati huo hakuna huduma yoyote ya maji. Na Thomas Masalu Naibu Katibu mkuu wizara…
28 November 2023, 16:25
Serikali yajipanga kutatua changamoto ya maji mkoani Songwe
Na Hobokela Lwinga Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi,amesema kuwa serikali inatekeleza miradi nane yenye thamani ya sh. Bilioni 13.3 kwa ajili kutoa huduma ya maji kwenye Vijiji 22 katika Wilaya ya Mbozi, Mkoani Songwe. Mhandisi Mahundi ameeleza hayo…
28 November 2023, 16:12
77% ya vijiji vimepata huduma ya maji safi na salama nchini
Na Hobokela Lwinga Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) ameitaka Sekta Binafsi kutumia fursa ya milango ya uwekezaji iliyofunguliwa na serikali ya awamu ya sita kuwekeza katika Sekta ya Maji. Wito huo ameutoa jijini Mbeya wakati akifungua…
27 November 2023, 5:28 pm
Mradi wa maji Nzuguni wafikia asilimia 96
Hatua hii ni moja ya njia ya kukabiliana na changamoto ya maji katika jiji la Dodoma ambapo Mradi wa Maji nzuguni unatarajia kuongeza hali ya uzalishaji wa maji kwa asilimia 11 na kuwanufaisha wakazi zaidi ya Wakazi 37,929 katika kata…
19 November 2023, 4:58 pm
RUWASA yakabiliwa na uhaba wa vitendea kazi, wataalam
(RUWASA) ndani ya miaka miwili ya utawala wa awamu ya sita wa Rais Samia Suluhu imefanikiwa kutoa huduma ya maji vijijini kwa asilimia 74. Na Alex Sayi Wakala wa Maji Safi na Mazingira Vijijini wilayani Maswa mkoani Simiyu RUWASA umebainisha…