Maji
20 Januari 2023, 3:12 um
Serikali yatatua kero ya maji Mvumi Misheni
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Mvumi misheni Wilayani Chamwino wameipongeza na kuishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa juhudi za kutatua changamoto ya maji Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema kuwa kujengwa kwa mradi huo wa …
13 Disemba 2022, 9:23 mu
Jamila Yusuph aiagiza Ruwasa kukamilisha mradi wa maji Mwamkulu.
MPANDA Mamlaka ya maji manispaa ya mpanda Ruwasa imeagizwa kuhakikisha mradi wa maji katika kata ya mwamkulu unakamilika ili kupunguza adha kwa wananchi. Rai hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph wakati akifanya ziara ya ukaguzi wa…
20 Oktoba 2022, 12:20 um
Wakazi wa Chenene walia na uhaba wa maji
Na; Benard Filbert. Kusuasua kwa upatikanaji wa huduma ya maji katika kijiji Cha Chenene wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma imetajwa kuwa kero kwa wakazi wa eneo . Taswira ya habari imefika katika kijiji cha Chenene nakujionea hali halisi ya upatikanaji…
19 Oktoba 2022, 8:57 mu
Serikali yaahidi kutatua changamoto ya maji Chunyu
Na;Mindi Josph . Serikali imeahidi kuchimba visima vya maji ili kutatua changamoto ya maji inayowakabili wananchi wa kijiji cha chunyu wilayani Mpwapwa. Wakizungumza na Taswira ya habari baadhi ya wananchi wa Kijiji hicho wamesema hadi sasa wanatumia maji chumvi ambayo…
12 Oktoba 2022, 12:17 um
Wakazi wa Makutupa wakabiliwa na uhaba wa maji safi na salama
Na; Na ;Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Makutupa wilayani kongwa wameendelea kutumia maji yasiyo safi na salama licha ya uwepo wa juhudi za uongozi wa kata ya ngomai kukabiliana na changamoto hiyo. Hali hiyo imesababisha uwepo matumizi ya maji…
9 Septemba 2022, 10:15 mu
kilio uhaba wa maji Rungwe kupata tiba mwezi oktoba
RUNGWE-MBEYA NA:WANDE BUSHU Wananchi wa Kitongoji cha Kawetele chini Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya wameiomba serikali kuwatatulia changamoto ya huduma ya maji iliyo dumu kwa muda mrefu licha la kulipia bili ya maji kila mwezi Wakizungumza na Chai Fm wamesema …
8 Septemba 2022, 7:19 um
Wananchi Wapongeza Serikali kwa Mradi wa Maji
TANGANYIKA Wananchi wakijiji cha Vikonge kata ya Tongwe wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wamepongeza jitihada zinazo fanywa na serikali katika kutekeleza mradi wa maji kijijini hapo. Wakizungumza na mpanda redio fm wananchi hao wamesema kuwa kukamilika kwa mradi huo kutawapunguzia…
10 Agosti 2022, 8:24 um
Dc Maswa Aswege Kaminyoge- “Nitawasukuma ndani wote wanaohujumu Mi…
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Aswege Enock Kaminyoge amesema atawasweka ndani wote wanaohujumu Miundo mbinu ya Maji huku akianza na Viongozi wa Serikali ya kijiji… Hayo ameyasema leo wakati akiongea katika mkutano na Watendaji wa Wakala wa Maji …
1 Agosti 2022, 9:11 mu
Wananchi Wazuia Msafara Wa Waziri Wa Maji, Walia Kero Ya Maji
WANANCHI wa Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoani Arusha wamezimka kuuzuia msafara wa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kulalamikia kukosa maji ya matumizi mbalimbali kwa muda mrefu. Kufuatia hali hiyo Waziri Aweso alilazimika kuchukua maamuzi magumu ya kutangaza kuzivunja Jumuiya…
27 Julai 2022, 11:41 mu
WANANCHI WILAYANI MASWA WAASWA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI.
Balozi wa Maji nchini Mrisho Mpoto maarufu kwa Jina la Mjomba Amewaasa Wananchi Wilayani Maswa Mkoani Simiyu kutunza vyanzo vya Maji likiwemo Bwawa la New Sola lililopo katika kijiji cha Zanzui kata ya Zanzui.. Balozi Mpoto ametoa nasaha hizo alipotembelea …