Radio Tadio

Maji

10 Aprili 2023, 12:53

Kukatika kwa Umeme kunaathiri upatikanaji wa maji Kongwa

Duwasa imeendelea kuhimiza utunzaji wa miundombinu ya maji safi iliyopo katika maeneo yao ili iweze kudumu kwa muda mrefu. Na Miandi Joseph. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira  Dodoma (DUWASA) imesema kukatika mara kwa mara kwa huduka ya umeme…

4 Aprili 2023, 5:49 mu

Wananchi Kayenze Walia Ucheleweshwaji wa Mradi wa Maji

KATAVI Wananchi wa Kayenze kata ya Katuma Wilayani Tanganyika Mkoani Katavi wameiomba serikali kumhimiza mkandarasi anayejenga mradi wa maji kukamilisha mradi kwa wakati. Wananchi Kwa nyakati Tofauti wameiambia Mpanda radio kuwa kumekuwa na adha kubwa ya upatikanaji wa maji safi…

20 Machi 2023, 4:56 um

Wanawake wawe mstari wa mbele mtoto wa kike kupata elimu

KATAVI Wanawake Mkoani Katavi wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuwahamasisha watoto wa kike juu ya umuhimu wa elimu sambamba na kuwaeleza fursa zinazotolewa na serikali ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao . Wito huo umetolewa hivi karibuni na Mkuu wa…

20 Machi 2023, 15:07

Wananchi walalamika kutumia maji yasiyo salama

Wakazi walalamika kutumia maji ya mto kizigo ambayo sio safi na salama baaada ya kuharibika kwa mashine ya kusukuma maji. Na Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Chinugulu wilayani chamwino wamelalamika kutumia maji ya mto kizigo ambayo sio safi na…

9 Machi 2023, 1:23 um

Siku ya Wanawake Duniani Katavi watakiwa kuondoa vikwazo kwa wanawake

KATAVI Kutokuwa na uhuru wa kushiriki katika shughuli za kimaendeleo,rushwa,na kutokujua sheria zimetajwa kuwa ni changamoto zinazowakabiri wanawake. Akisoma Risala , Bi. Chiku Peter na kuwawakilisha wanawake katika kusherehekea siku ya wanawake  duniani iliyofanyika Machi 8 mwaka huu amesema kuwa …