Radio Tadio

Kilimo

28 April 2023, 3:11 pm

Zaidi ya hekari 6000 zatengwa kwaajili ya blockfarm Kongwa

Mkuu wa wialaya amewaomba madiwani kuwahimiza wananchi kuhusu suala la uhifadhi wa chakula hususani katika kipindi hiki Cha mavuno Kwani wengi wao wamekuwa wakiuza mazao Kwa kasi badala ya kuhifadhi kwaajili ya msimu ujao. Insert 2 sec 00:34 NA Bernadetha…

27 April 2023, 6:54 pm

Wakulima Kongogo waahidiwa mashine za kisasa

Na Mindi Joseph. Mbunge wa Jimbo la Bahi, Kenneth Nollo amewaahidi wakulima wa Kongogo kuwanunulia mashine za kisasa za kupandia mpunga pindi tu ujenzi wa skimu ya umwagiliaji utakapokamilika 2024. Akizungumza na Wakulima hao amesema wilaya ya bahi imekuwa ikizalisha…

27 April 2023, 5:52 pm

Mpunga Hatarini Kuharibika kwa Mvua

MPANDA Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Mwamkulu manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamehofia kuharibika kwa zao la mpunga uliopo shambani kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Wakizungumza na kituo hiki wamesema kuwa kuna hatari ya kupoteza mazao ya mpunga kutokana…

21 April 2023, 10:42 am

Wakulima wa Kilosa wanashauriwa kupanda alizeti

Zao la alizeti ni zao ambalo ni la muda mfupi pia linastahimili mvua kidogo hivyo mkulima atanufaika kwenye mazao ambayo atajikwamua kiuchumi kwa haraka tofauti na mazao mengine. “Mvua zimerudi kwa kipindi kingine ambacho mkulima awali alipanda mazao kama mahindi…

20 April 2023, 9:34 am

Dc  Maswa  Aswege   Kaminyoge  atoa  Maagizo  Mazito  kuhusu  chanjo …

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mkoani  Simiyu  Mhe Aswege  Kaminyoge  ametoa  Maagizo  kwa  Wafugaji  Wote  kupeleka   Mifugo  yao  kwenda  kuchanja  Sehemu  ambazo  zimeandaliwa  na  kijiji  husika  ili  kujikinga  na  Magonjwa  hatari  ya  Mifugo.             Sauti ya DC  Maswa Aswege kaminyoge kuhusu …

19 April 2023, 11:29 pm

RUNALI yawanoa wajumbe wa vyama vya msingi

Na Loveness Daniel Chama kikuu cha ushirika RUNALI kinachojumuisha wilaya ya Ruangwa,Nachingwea na Liwale kimetoa mafunzo kwa wajumbe wa vyama vya msingi katika  jumla ya amcos 106 leo 19 April 2023 mafunzo hayo yamefanyika ghala la Runali  wilaya ya ruangwa.…