Haki za Binadamu
1 February 2024, 2:15 pm
Meatu:wahadzabe waiomba Serikali kuwatengea makazi ya kudumu
Wahadzabe wapatao (360 ) waishio kwenye kaya (46) kijiji cha Sungu Kata ya Mwabuzo Wilayani Meatu Mkoani Simiyu hawana makazi rasmi. Na, Alex Sayi. Wahadzabe waishio pembezoni mwa pori la akiba la Makao lililopo Wilayani Meatu Mkoani Simiyu wameiomba Serikali…
30 January 2024, 12:46 pm
Polisi: Hakuna malipo kupata dhamana
Kutokana na uwepo wa malalamiko kutoka kwa wananchi kuwa huwezi kupata mdhamana kutoka polisi bila kutoa rushwa jeshi la polisi limekanusha taarifa hizo. Na Mrisho Shabani: Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Geita kamishna msaidizi wa polisi ACP Safia Jongo…
4 January 2024, 15:40
Polisi kushirikiana na wasaidizi wa kisheria Kibondo
Mkuu wa wilaya ya Kibondo mkoani kigoma Kanali Agrey Magwaza amelitaka Jeshi la Polisi wilayani Humo kwa kushirikiana na wasaidizi wa Kisheria , kutoa elimu kwa wananchi kuhusu Haki ya Mtuhumiwa anapokamatwa ili kuondoa mkanganyiko na mitazamo waliyonayo wananchi juu…
21 December 2023, 4:52 pm
Jeshi la polisi laanza uchunguzi madai ya raia kunyanyaswa na maaskari
SACP Misime amewaomba wananchi wenye ushahidi kulingana na malalamiko yalivyowasilishwa na walalamikaji katika mitandao ya kijamii asisite kujitokeza ili uchunguzi huo ukamilike mapema na hatua zingine za kisheria zifuate. Na Mariam Kasawa.Jeshi la polisi limesema kuwa limeanza kufanyia uchunguzi malalamiko…
11 December 2023, 6:56 pm
Maswa:Wanawake bado niwaathiria wa vitendo vya ukatili wakijinsia.
Takwimu zimeonyesha kuwa bado kuna idadi kubwa ya wanawake wanaofanyiwa ukatili wa kijinsia Wilayani Maswa Mkoani Simiyu. Na Alex Sayi. Imebainishwa kuwa Wanawake Wilayani Maswa Mkoani Simiyu wameendelea kuwa waathirika wa vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa mujibu wa Takwimu…
8 December 2023, 1:50 pm
TRA yawakumbuka watu wenye uhitaji
Jamii imeombwa kuendelea kuwakumbuka watu wenye mahitaji maalumu kwakuwa bila kuungana kwa pamoja kuwasaidia wataendelea kuisha katika mazingira magumu. Na Mrisho Sadick – Geita Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Geita imetoa msaada wa Chakula na vitu mbalimbali kwa…
24 November 2023, 14:59
RC Mbeya: Msiwasahau watoto wa kiume, wanapitia ukatili wa kutisha
Na Samweli Ndoni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera amewakumbusha wadau wa sheria na vyombo vya utoaji haki nchini kuelekeza nguvu zao kwenye mapambano dhidi ya ukatili anaopitia mtoto wa kiume akieleza kuwa kampeni nyingi zimewaacha nyuma na badala…
19 November 2023, 1:18 pm
ZEC yatagaza tarehe ya kuanza uandikishaji wapiga kura awamu ya kwanza 2023
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar kwa mujibu wa kifungu cha 4(1)(c)cha sheria ya kuanzisha afisi ya tume ya uchaguzi ya Zanzibar namba 1ya mwaka 2017 na sheria ya uchaguzi namba 4 ya mwaka mwaka 2018,imepewa jukumu la kuandaa ,kutayarisha ,kuhifadhi…
13 November 2023, 7:03 pm
Wananchi pigeni vita usafirishaji haramu wa binadamu
Biashara hiyo imekuwa ikisababisha athari ikiwemo kutumikishwa kwa ujira mdogo na wengine kutolewa baadhi ya viungo bila ridhaa huku utumikishwaji wa majumbani ukitajwa kuwa moja ya mambo yanayowaathiri wasichana wengi. Na Bernad Magawa. Jamii imetakiwa kupiga vita suala la usafirishaji…
3 November 2023, 7:48 pm
Tamwa Pemba yawapiga msasa wanahabari juu ya kuripoti habari za udhalilisha
Udhalilishaji ni kumfanyia mtu kitendo chochote kile kitakachomuathiri utu wake na heshima yake na kikamuathiri kimwili na kisaikolojia. Na Mwiaba Kombo Waandishi wa habari kisiwani Pemba wametakiwa kutumia kalamu zao na kupaza sauti zao kwa lengo la ukuweza kwatetea waathirika…