Radio Tadio

Haki za Binadamu

1 February 2024, 2:15 pm

Meatu:wahadzabe waiomba Serikali kuwatengea makazi ya kudumu

Wahadzabe wapatao  (360 ) waishio kwenye kaya (46) kijiji cha Sungu Kata ya Mwabuzo Wilayani Meatu Mkoani Simiyu hawana makazi rasmi. Na, Alex Sayi. Wahadzabe waishio pembezoni mwa pori la akiba la Makao lililopo Wilayani Meatu Mkoani Simiyu wameiomba Serikali…

30 January 2024, 12:46 pm

Polisi: Hakuna malipo kupata dhamana

Kutokana na uwepo wa malalamiko kutoka kwa wananchi kuwa huwezi kupata mdhamana kutoka polisi bila kutoa rushwa jeshi la polisi limekanusha taarifa hizo. Na Mrisho Shabani: Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Geita kamishna msaidizi wa polisi ACP Safia Jongo…

4 January 2024, 15:40

Polisi kushirikiana na wasaidizi wa kisheria Kibondo

Mkuu wa wilaya ya Kibondo mkoani kigoma Kanali Agrey Magwaza amelitaka Jeshi la Polisi wilayani Humo kwa kushirikiana na wasaidizi wa Kisheria , kutoa elimu kwa wananchi kuhusu Haki ya Mtuhumiwa anapokamatwa ili kuondoa mkanganyiko na mitazamo waliyonayo wananchi juu…

21 December 2023, 4:52 pm

Jeshi la polisi laanza uchunguzi madai ya raia kunyanyaswa na maaskari

SACP Misime amewaomba wananchi wenye ushahidi kulingana na malalamiko yalivyowasilishwa na walalamikaji katika mitandao ya kijamii asisite kujitokeza ili uchunguzi huo ukamilike mapema na hatua zingine za kisheria zifuate. Na Mariam Kasawa.Jeshi la polisi limesema kuwa limeanza kufanyia uchunguzi malalamiko…

8 December 2023, 1:50 pm

TRA yawakumbuka watu wenye uhitaji

Jamii imeombwa kuendelea kuwakumbuka watu wenye mahitaji maalumu kwakuwa bila kuungana kwa pamoja kuwasaidia wataendelea kuisha katika mazingira magumu. Na Mrisho Sadick – Geita Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Geita imetoa msaada wa Chakula na vitu mbalimbali kwa…

13 November 2023, 7:03 pm

Wananchi pigeni vita usafirishaji haramu wa binadamu

Biashara hiyo imekuwa ikisababisha athari  ikiwemo kutumikishwa kwa ujira mdogo na wengine kutolewa baadhi ya viungo bila ridhaa huku utumikishwaji wa majumbani ukitajwa kuwa moja ya mambo yanayowaathiri wasichana wengi. Na Bernad Magawa. Jamii imetakiwa kupiga vita suala la usafirishaji…