Radio Tadio

Habari

31 March 2023, 3:24 pm

Tanzia

TANZIA!!! Uongozi wa Radio Mazingira Fm kwa masikitiko makubwa unatangaza kifo cha mfanyakazi wao Bi.Magreth Samson Misinzo (aliyekuwa mhasibu katika kituo Cha Radio Mazingira) kilichotokea jana tarehe 30 March 2023 saa 11 jioni. Tunamtukuza Mungu kwa maisha ya Magreth na…

30 March 2023, 18:29 pm

Waziri Mkuu Majaliwa kuwasha mwenge wa Uhuru Mkoani Mtwara

Mwenge wa Uhuru wa Tanzania unatarajiwa kuwashwa Mkoani Mtwara Ili kuanza kuzunguka Tanzania nzima kwaajili ya kujenga amani na mshikamano wa Taifa kwa mwaka 2023 Na Mussa Mtepa WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio…

27 March 2023, 12:23 pm

Tree of Hope wabaini haya Pangani

Shirika lisilo la Kiserikali TREE OF HOPE lenye makao yake makuu jijini Tanga limekutana na wadau wa elimu katika vijiji vya Ubangaa, Stahabu, Kipumbwi na Mkalamo katika mdahalo uliolenga kujadili changamoto za elimu wilayani Pangani. Akizungumza na Pangani FM baada…

27 March 2023, 11:18 am

Kipindi: Elimu ya ugonjwa surua na rubella

Na Gregory Millanzi, Mwanahamisi Chikambu na Mussa Mtepa Utoaji wa chanjo ya surua na rubella kwa watoto umeanza kwa awamu ya dharula baada ya uwepo wa mlipiko wa magonjwa hayo ambayo yanawaadhiri watoto. Kupitia kipindi cha dira ya asubuhi tumewapata…

24 March 2023, 1:15 pm

Viongozi watakiwa kusimamia ipasavyo miradi ya serikali

Bi Fatma Mganga amekabidhi ofisi hiyo baada ya kuhamishwa kwenda kuwa Katibu tawala mkoani Singida. Na Alfred Bulahya. Aliyekuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bi, Fatma Mganga, amekabidhi ofisi kwa katibu Tawala mpya  Bw. Ally Gugu. Katika makabidhiano hayo…