Habari
2 May 2023, 11:40 am
TUCTA Mwanza waitaka serkali kuchukua hatua kwa waajiri wanao nyanyasa wafanyaka…
Chama cha wafanyakazi Mkoani Mwanza TUCTA kimelaani vikali waajiri wanaowanyanyasa wafanyakazi sehemu za kazi ikiwemo kutowalipa stahiki zao kwa wakati. Hayo yamesemwa na katibu wa chama cha wafanyakazi mkoani mwanza Zebedayo Athuman wakati akisoma risala kwa mgeni rasmi katika maadhimisho…
27 April 2023, 7:19 pm
Kesi 104 za ukeketaji wilayani Tarime hazikufika mwisho kwa kukosa ushahidi
imeelezwa kuwa ukeketaji unaovuka mipaka bado ni changamoto hasa katika jamii zinazoishi mipakani kati ya nchi na nchi. hayo yamebainishwa katika ufunguzi wa warsha ya mafunzo kwa Waandishi wa habari za kupinga masuala ya ukeketaji unaovuka mipaka inayofanyika wilayani tarime…
26 April 2023, 9:58 am
DC Naano akiri Bunda kuwa kinara wizi miradi ya maendeleo mkoani Mara
Wilaya ya Bunda imeadhimisha miaka 59 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar kwa kufanya kongamano kubwa huku mgeni rasmi akiwa ni Mhe Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vicent Naano. Kongamano hilo limewakutanisha viongozi wa taasisi za serikali…
22 April 2023, 6:56 pm
Bunda; Suala la maadili latiliwa mkazo kwenye Swala ya Eid El Fitr.
Waislam wilayani Bunda wameungana na wezao kote Duniani kusherekea Sikukuu ya Eid El Fitr ikiwa ni kukamilisha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan miongoni mwa Nguzo kuu tano za uislam Katika ujumbe wake Sheikh Mkuu wa Bunda shekhe Abubakar Zuber…
21 April 2023, 7:31 am
Chuo cha kisangwa tayari kwenye mfumo wa kupikia nishati mbadala.
Chuo cha maendeleo ya wananchi kisangwa FDC wameiomba serikali kuzungumza na watoa huduma wa nishati mbadala za kupikia ili waweze kumudu gharama za uendeshaji katika ununuzi wa nishati hizo. Akizungumza na Mazingira Fm ofisini kwake leo 19 April 2023 mratibu…
17 April 2023, 9:01 am
MENEJA TARURA BUNDA; Mifugo kupita barabarani kunaharibu barabara, adhabu ni elf…
Upitishaji wa mifugo barabarani (kuswagwa) imetejwa kama chanzo cha uharibifu wa barabara zinazojengwa na wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA wilayani Bunda. Akizungumza katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara katika kata za mihingo na nyasura…
14 April 2023, 8:26 pm
Kambarage Wasira: achangia laki tano kumaliza uhaba wa matundu ya vyoo bunda se…
Ndugu Kambarage wasira atoa shilingi laki tano kwa ajili ya ujenzi wa matundu ya vyoo kwenye mabweni shule ya sekondari Bunda katika risala ya mkuu wa shule hiyo mwalimu Charles Somba mbele ya mgeni rasmi katika maafali ya nane ya…
14 April 2023, 7:55 pm
DC Bunda ; amuweka ndani mganga mkuu wa halmashauri kwa upotevu wa vifaa tiba vy…
Mkuu wa wilaya ya Bunda Dr Vicent Anney Naano memuondoa mganga mfawidhi wa hospital ya halmashauri ya wilaya ya Bunda na kumuweka ndandi mganga mkuu wa halmashauri kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa vifaa tiba vya hospitali hiyo Akizungumza…
14 April 2023, 12:07 pm
Wazazi waaswa kuwalea watoto katika maadili mazuri ili kuepukanana na masuala ya…
Leo ikiwa ni tarehe 13 mwezi wa 4 kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa la Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Wazazi Wametakiwa Kuwalea Watoto Katika Maadili Mazuri ili Kuepukana Na jamii isiyofaa. Hayo yamesemwa katika ufunguzi wa wiki…
7 April 2023, 4:59 pm
Waziri Simbachawene azindua mpango mkakati wa mwaka 2022-2027
Katika hatua nyingine Waziri Simbachawene ameeleza kwamba Mkakati huo utawezesha nchi kufikia malengo ya Maendeleo Endelevu ya mwaka 2030 ambayo yamejikita katika kupunguza umasikini na kuleta ustawi wa maisha ya watu. Na Pius Jayunga. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,…