Radio Tadio

Habari za Jumla

7 Febuari 2024, 15:23

Wafanyabiashara Kasulu wahimizwa kutunza mazingira

Wafanyabiashara na wajasiriamali katika halmashauri ya Mji wa Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwa na vitunzia taka katika maeneo yao kwa ajili ya kuhifadhi uchafu.  Na, Mwandishi wetu Emmanuel Kamangu anasimulia zaidi

7 Febuari 2024, 14:32

Halmashauri ya Kibondo kujenga jengo la ghorofa 3

Halmashauri ya wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma imetenga shilingi bilioni 2.5 ili kujenga jengo jipya la vijana community center ikiwa ni mikakati ya kuchochea na kukuza uchumi wa halmashauri na jamii kwa ujumla  Na, James Jovin Hayo yamebainishwa na diwani…

7 Febuari 2024, 1:56 um

DC Maswa atahadharisha wanaotorosha  mazao ya nafaka

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  mkoa  wa  Simiyu  Mhe  Aswege  Kaminyoge  amewatahadharisha  Wafanyabiashara  wa  Mazao ya  Nafaka utoroshaji  na  kukwepa  kulipa  Ushuru  wa  Mazao  hayo. Mhe  Kaminyoge  amesema  hayo  katika  kikao  cha  Wadau  wa Kilimo  na  Mazao  Mchanganyiko  kilichofanyika  Katika  ukumbi  wa …

6 Febuari 2024, 11:17

Akutwa na nyaraka za serikali na meno ya trmbo Songwe

Na mwandishi wetu, Songwe Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linaendelea kuimalisha ulinzi na usalama kwa kuishirikisha jamii katika kubaini, kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kufanya doria, misako na operesheni ambapo limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa 01 kwa tuhuma za kupatikana na…

6 Febuari 2024, 10:47

Kamati zapongezwa utekelezaji wa miradi Rungwe

Na mwandishi wetu Kamati ya fedha (FUM) imefanya ukaguzi wa ujenzi wa shule mpya ya Msingi Umoja yenye Mchepuo wa Kingereza iliyopo Ilenge kata ya KyimoMwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mheshimiwa Mpokigwa Mwankuga ndiye aliyeongoza kamati hii ambapo…

5 Febuari 2024, 15:32

Viongozi wa dini wakemea ramli chonganishi Kigoma

Jamii imeshauriwa kutojihusisha na vitendo vya ramli chonganishi ambavyo vinafanywa na waganga wa kienyeji ili kuwatapeli wananchi. Na, Josephine Kiravu Viongozi wa dini Kutoka madhehebu mbalimbali Mkoani kigoma wamekemea vikali vitendo vinavyoendelea kufanywa na waganga wanaopiga ramli chonganishi maarufu kwa…