Radio Tadio

Habari za Jumla

22 March 2022, 4:14 pm

Waziri wa ardhi azindua baraza la Ardhi Sengerema.

Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya makazi  Mh, Agelina Mabula  amewataka  watumishi  wa mabaraza  ya ardhi na nyumba ya Wilaya  nchini   kutimiza wajibu wao kwa weledi kwa kuzingatia  sheria ,kanuni ,taratibu  na miongozo iliyopo  na itakayotolewa  ili kuboresha utoaji…

22 March 2022, 8:47 am

Wanunuzi parachichi wafuate bei elekezi ya serikali

RUNGWE-MBEYA Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe MPOKIGWA MWANKUGA amewataka wakulima wa zao la parachichi kuuza zao hilo kwa kufuta bei elekezi iliyotolewa na serikali ya shilingi 1600 kwa kilo. Ametoa kauli hiyo alipo kuwa akitoa elimu kwa wananchi…

17 March 2022, 9:58 pm

Msaada watolewa kwa watoto yatima karatu Arusha

Na Nyangusi ole sang’da Arusha,Wanawake kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwa niaba ya wanawake wengine wa Taasisi zilizoko chini ya Wizara ya Maliasili na utalii leo tarehe 17 Machi, 2022 wametembelea kituo cha Watoto yatima cha Jesus life…

March 14, 2022, 1:51 pm

Wajumbe MTAKUWA wapanga mikakati ya kupinga ukatili wa kijinsia.

Wajumbe wa kamati ya MTAKUWA Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wamekutana katika kikao  cha Mradi wa Mwanamke Amka ili kujadili mpango kazi ambao utatokomeza ukatili wa kijinsia huku wanaume wakitajwa kuwa ndio chanzo kikubwa kinacho chochea ukatili. Akizungumza wakati wa kikako…