Radio Tadio

Habari za Jumla

7 October 2024, 9:15 pm

Wafugaji Simanjiro  waaswa kupeleka mabinti shule  

Wadau wa elimu kutoka shirika la Kinnapa, wafugaji kutoka wilayani humo wamesema wame elimika kutokana na elimu waliyoipata mara kwa mara  na wameamua kuwapeleka watoto wa kike shule na hasa  waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo Na Diana Dionis Jamii…

4 October 2024, 8:08 pm

Mkonze yajiimarisha kiulinzi kudhibiti mauaji na uhalifu

Na Nazaaeli Mkude Kufuatia tukio la mauaji  la mama na binti lililotokea mnamo tarehe 19 Septemba mwaka huu  katika kata ya Mkonze mtaa wa Muungano A, kata ya Mkonze, Jijini Dodoma, hali ya ulinzi imeimarishwa ili kudhibiti uendelevu matukio hayo…

1 October 2024, 8:25 pm

Ujumbe wa marehemu wazua ‘Utata’ Arusha

Na Joel Headman Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linafanya uchunguzi wa kifo cha mtu mmoja mkazi wa Baraa jijini Arusha aliyekutwa msituni akiwa amening’inia juu ya mti. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo, kamanda wa Polisi Mkoa…

1 October 2024, 7:53 pm

Mradi wa bwawa kuipaisha Swaswa kiuchumi

Na Mindi Joseph. Ujenzi wa eneo la mapumziko katika Bwawa la Swaswa Jijini Dodoma unatarajiwa kuwanufaisha wananchi kiuchumi. Bwn. Isaack Daniel ambaye ni mjumbe na pia msimamizi wa ulinzi na usalama katika mtaa wa Swaswa amezitaja fursa za kiuchumi zinazotokana…

30 September 2024, 7:10 pm

Elimu zaidi ya VVU yahitajika kwa Vijana

Na Yussuph Hassan. Vijana Jijini Dodoma wameomba elimu iendelee kutolewa ili kukumbusha jamii juu ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Wakizungumza nyakati tofauti na Dodoma TV wakazi hao wamesema kuwa kwa kufanya hivyo itasaidia kupunguza maambukizi mapya ya…