Radio Tadio

Habari za Jumla

23 February 2024, 12:16

Wananchi watakiwa kushiriki mapambano dhidi ya malaria Kibondo

Wananchi wilayani Kibondo mkoani Kigoma kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa malaria ambao umekuwa ukisababisha vifo kwenye jamii. Na, James Jovin. Shirika lisilo la kiserikali SADERA kwa kushirikiana na serikali limefanya ziara  katika vijiji kumi wilayani Kibondo mkoani…

22 February 2024, 20:42

Homera aongoza kikao kamati ya ushauri mkoa wa Mbeya

Na Mwandishi wetu Leo February 22, 2024 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z Homera ameongoza Kikao Cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mbeya(RCC) kilicholenga kujadili, kushauri na Kutoa Mapendekezo juu ya Namna bora ya kutatua baadhi ya…

22 February 2024, 17:35

Bodaboda Mbeya wagoma, wavamia ofisi za jiji

Na Ezra Mwilwa Umoja wa madereva bodaboda mkoa wa Mbeya wamefanya maandamano katika ofisi za jiji kuomba kusikilizwa kero zao ikiwepo kukamatwa na kutozwa faini wawapo barabarani. Mwenyekiti wa umoja huo Ndg. Aliko Fuanda amesema wamekuwa wakikamatwa pindi wanapoingia soko…

22 February 2024, 16:57

Mercy World Organization yawa faraja kwa wanyonge

Na Hobokela Lwinga Wadau, mashirika na watu binafsi wameombwa kujitokeza kusaidia makundi maalum ikiwemo yatima ili kupunguza changamoto mbalimbali zinazowakabili. Wito huo umetolewa na mwenyekiti wa bodi ya  taasisi isiyo ya kiserikali ya Mercy World Organization MEWO Subira Mwasamboma na…

22 February 2024, 15:09

LHRC yatembelea kituo cha redio Baraka Jijini Mbeya

Na Hobokela Lwinga Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dkt. Anna Henga ametembelea Radio Baraka Fm iliyopo jiijini Mbeya.Dkt. Henga amepata wasaa wa kujifunza namna ambavyo kituo hicho kinavyoendesha shughuli zake za kuwapatia elimu wasikilizaji…