Radio Tadio

Habari za Jumla

14 Januari 2026, 5:47 mu

Serikali ya mtaa wa Mpanda hotel yajipanga kutengeneza madawati

Madawati mabovu yaliyopo katika shule ya msingi Mpanda. Picha na Rhoda Elias “Tayari tumeshawaelekeza mafundi wamekuja na kufanya tathimini yao” Na Rhoda Elias Serikali ya mtaa wa Mpanda hotel imefanya ziara  katika shule ya msingi Mpanda  iliyopo manispaa ya Mpanda…

10 Januari 2026, 3:41 um

Mkombozi Paralegal watoa elimu ya ukatili Katavi

Afisa maendeleo akitoa elimu kwa wananchi. Picha na Anna Milanzi “Tunawajengea uwezo kamati hizo kwa kuziimarisha” Na Anna Milanzi Taasisi ya Mkombozi Paralegal iliyopo mkoani Katavi imeendelea kuwawezesha wananchi kupata elimu ya masuala ya ukatili wa kijinsia na kuwawezesha kutambua…

09/01/2026, 10:26

Serikali yaahidi kuiboresha DIT

Kwa malengo ya kuongeza ubora wa taaluma Na Devi Moses SERIKALI imeahidi kuendelea kuboresha na kuendeleza Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam(DIT) Kampasi ya Songwe ili kuongeza ubora wa mafunzo ya ufundi nchini. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,…

5 Januari 2026, 16:00

Jamii FM yatoa tuzo kwa wasikilizaji bora wa mwaka 2025

Jamii FM Redio imetangaza wasikilizaji na wachangiaji bora wa vipindi vyake kwa mwaka 2025. Washindi walichaguliwa na wasikilizaji kupitia SMS na kukabidhiwa tuzo katika hafla iliyofanyika katika studio za kituo hicho Na Musa Mtepa Jamii FM Redio imetangaza wasikilizaji na…

21/12/2025, 19:25

Kabanga yawatunuku vyeti vya utumishi bora wafanya kazi

Watumishi wa hospitali ya rufaa Kabanga wamekutana kwa pamoja kusherehekea shelehe ya funga mwaka ilizoambatana na burudani mbalimbali na utunukiwaji wa vyeti kwa baadhi ya watumishi waliofanya vizuri katika idara zao kwa mwaka 20225. Na; Sharifat Shinji Hospitali ya rufaa…

19/12/2025, 13:58

Wiki ya afya Kabanga yawagusa zaidi ya 600 Kasulu

Wananchi wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wameshukuru huduma za hospitali ya rufaa Kabanga kwa kutoa huduma za vipimo na matibabu bure ikiwa ni wiki ya afya Kabanga iliyoambatana na kauli mbiu ya “Tuungane kutokomeza magonjwa yasiyoambukizwa” iliyofanyika katika viwanja…