Radio Tadio

Habari za Jumla

10 May 2024, 8:39 pm

Jamii  yatakiwa kuondoa tofauti zao kumlinda mtoto

Kuongezeka kwa vitendo vya kikatili  na mmommonyoko wa maadili vinasababishwa na baadhi ya wazazi wanapogombana ambapo familia nyingi huathirika kwa kukosa malezi bora na  muelekeo mzuri katika maisha yao Na Marino Kawishe Kuelekea siku ya familia duniani  ambayo huadhimishwa kila…

May 10, 2024, 6:38 pm

Wanafunzi wapatiwa elimu ya mlipa kodi na TRA

“Mafunzo ambayo tunayaandaa yanalenga kuwafundisha vijana wetu wakiwa wadogo hasa wanafunzi wa shule za Msingi, Sekondari na vyuoni kujua maana ya kulipa kodi, umuhimu wa kodi ni nini, kwanini serikali zote duniani zinaweka kodi. Kodi ni malipo ya lazima ambayo…

10 May 2024, 18:21

Waziri Mkuu ziarani Kyela

“Tupo tayari kumpokea waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ili aje aone namna fedha za zinazotolewa na raisi samia jinsi zinavyofanya kazi za maendeleo hapa wilayani”. Na Masoud Maulid Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kasim…

10 May 2024, 14:38

Madiwani watakiwa kusimamia miradi ya maendeleo

Miradi inakuwa kwenye maeneo yenu laikini hakuna hata anayejishughulisha kufuatilia kinachofanyika kwenye utekelezaji wa miradi na ndio maana tunakuwa miradi mingi ambayo haikidhi viwango. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa wilaya ya Kasulu Kanal Isaac Mwakisu amewaagiza madiwani wa…

10 May 2024, 12:38

Ziwa Tanganyika kufungwa kwa miezi mitatu

Waziri wa mifugo na uvuvi Mh. Abdallah Ulega amesema shughuli za uvivi zitafungwa rasmi kuanzia may 15 hadi mwezi augost lengo ikiwa ni kulinda rasmali za ziwa tanganyika kuongeza. Na Orida Sayon – Kigoma Katika kutekeleza dhamira ya  kulinda  rasilimali…

May 9, 2024, 8:59 pm

Waendesha baiskeli mapacha wafariki Shinyanga

“Tumepokea taarifa za kifo cha vijana wetu kwa masikitiko makubwa, wamefariki dunia kwa kugongwa na gari wakiwa watatu kwenye pikipiki. Inasikitisha sana watu waliozaliwa siku moja, wakafa siku moja, …tulikuwa tunawaandaa kwenda kushiriki mashindano nje ya nchi” Waendesha Baiskeli Mabingwa…