Radio Tadio

Habari za Jumla

14 Machi 2025, 6:08 um

Wananchi watakiwa kuchagua viongozi wenye ushawishi wa sera

Picha ya Leonard Minja afisa TAKUKURU Mpanda. Picha na Anna Mhina “Msichague viongozi watoa rushwa” Na Anna Mhina Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoani Katavi imewataka wananchi kuchagua viongozi kutokana  na ushawishi wa sera na ilani za…

7 Machi 2025, 11:54 um

TPF-NET watoa mafunzo kwa askari wanawake

Mtandao wa Polisi wanawake mkoa wa Manyara (TPF-NET ) wametoa mafunzo kwa askari wanawake Na Angel Munuo Mtandao wa Polisi wanawake mkoa wa Manyara (TPF-NET ) wametoa mafunzo kwa askari wanawake ambayo yatawasaidia kupambana na ukatili wa kijinsia pamoja na…

5 Machi 2025, 17:51

Mhandisi Maryprisca akabidhi mabati bweni la wasichana Shizuvi

Naibu waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi atimiza Hadi yake kusaidia ujenzi wa Bweni Na Hobokela Lwinga Siku chache baada ya Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi…

5 Machi 2025, 11:20 mu

Bibi adaiwa kumwagia chai ya moto mjukuu wake

Licha ya serikali kuendelea kutoa elimu juu ya athari za vitendo vya ukatili hususani kwa watoto, bado baadhi ya wananchi wameendelea kutenda matukio hayo. Na: Emmanuel Twimanye – Sengerema Mtoto mwenye umri wa miaka 14 katika mtaa wa Misheni wilayani Sengerema…

3 Machi 2025, 12:36 um

Maswa:Halmashauri maswa yazindua mnada mpya

Halmashauri Wilayani Maswa Mkoani Simiyu imeendelea na adhima yake ya kuhakikisha inaongeza ukusanyaji wa mapato kwa kuanzisha vyanzo vipya vya mapato kwa lengo la kuharakisha maendeleo Wilayani hapo Na, Alex Sayi-Maswa Simiyu. Halmashauri wilayani Maswa mkoani Simiyu imeanzisha gulio na…

3 Machi 2025, 10:08

Wanawake Block D Ilomba watembelea gereza la Rwanda,Mbeya

Katika kuadhimisha kilele cha siku ya mwanamke Duniani wanawake mkoani Mbeya watumia nafasi hiyo kuwatembelea wahitaji mbalimbli. Na Ezra Mwilwa Kuelekea siku ya mwanamke duniani Umoja wa kina mama mtaa wa Block D Ilomba wametembelea gereza la Ruanda upande wa…

2 Machi 2025, 6:38 um

Maswa:wajawazito (400-450)hujifungua ndani ya  mwezi mmoja

Jamii Wilayani Maswa Mkoani Simiyu imeaswa kujenga tabia ya kuwatembelea wajawazito na wazazi wanaojifungua ili kusaidia mahitaji muhimu ya uzazi kwa wazazi hao. Na,Alex Sayi Maswa-Simiyu Uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu umebainisha kuwa ndani ya mwezi…