Habari za Jumla
30 May 2024, 17:13
Wananchi watakiwa kutoa malalamiko juu ya huduma za nishati na maji
Na Lameck Charles Wananchi wa nyanda za juu kusini wametakiwa kuendelea kutoa malalamiko yao wanayokabailiana nayo pale wanapopata huduma zinazohusishwa huduma za nishati na maji. Kauli hiyo imetolewa na Francis Mhina Afisa Huduma kwa wateja (Ewura) nyanda za juu kusini…
30 May 2024, 16:37
Wananchi chunya waomba kutatuliwa changamoto ya maji
Na Pascal Ndambo Wananchi wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wameiomba serikali kutatua changamoto ya maji ambayo wamedai kuwa imedumu kwa muda mrefu na kusababisha adha ya kufuata maji ya visima umbali mrefu ambayo sio safi na salama. Wakizungumza kwa nyakati…
30 May 2024, 1:43 pm
Waziri Jafo :Katavi tunzeni mazingira
picha na Site tv “uharibifu wa mazingira unaleta athari hasa ya mabadiliko ya tabianchi jamii inapaswa kuyatunza mazingira“ Na Betord Chove -Katavi Waziri wa Nchi (Muungano na Mazingira, Dkt.Selemani Saidi Jafo Amewaagiza wakuu wa Mikoa nchiniĀ kutekeleza mpango wa kuhamia…
30 May 2024, 12:47 pm
DED Ngorongoro awataka watumishi kushirikiana
Ilikufanikisha maendeleo ya wananchi kwa weledi watumishi wa Halmshauri wametakiwa kuwa na umoja na ushirikiano katika kutimiza majukumu yao. Na Saitoti Saringe Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro Bw. Murtallah Sadiki Mbillu amezungumza na Watumishi wa Wilaya ya Ngorongoro…
May 30, 2024, 12:10 pm
Muuza Chips mbaroni kwa tuhuma mauaji
“Tunamshikilia huyu bwana kwa sababu tunafanya uchunguzi na walikuwa na kesi kuhusu hatima ya talaka yao ambayo ilitakiwa itolewe tarehe 28 mwezi huu wa tano hivyo tukikamilisha uchunguzi tutamfikisha mahakamani kwa hatua zaidi za kisheria” Na Neema Nkumbi-Huheso FM Jeshi…
30 May 2024, 12:03 pm
Wananchi kumlinda binti mwenye ulemavu dhidi ya mimba za utotoni
Viti mwendo sambamba na nyenzo zingine za kusaidia watu wenye ulemavu kutoka sehemu moja kwenda nyingine .picha na Mtandao “wasichana wenye ulemavu wana ndoto na wanapaswa kufikia malengo yao ,jamii inapaswa kuwalinda wasichana wenye ulemavu“ Na Ben Gadau- Katavi Wazazi…
May 30, 2024, 11:46 am
Wananchi 4700 Iseche kunufaika na mradi wa maji safi
Na Denis Sinkonde,Songwe Wananchi wa kijiji cha Iseche kilichopo Wilayani Songwe Mkoani Songwe wameondokana na adha ya kutumia maji yasiyo safi na salama ambayo awali walikuwa wanayapata kutoka mto songwe na kusababisha kupata magonjwa ya tumbo kutokana na matumizi ya…
May 30, 2024, 10:36 am
Magesa mbaroni kwa kumuua mtalaka wake
30 May 2024, 10:36 am
Misitu 30 kuboresha biashara ya Kaboni Katavi
Mkuu wa mkoa wa Katavi akiwa wilayani Tanganyika .picha na site tv “Halmashauri zote mkoani katavi zinapaswa kutunza mazingira ili kunufaika na biashara ya hewa ukaa na kukuwa kiuchumi“ Na Betold Chove- Katavi Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko…
30 May 2024, 10:06
Mwalimu mbaroni kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi wake
Serikali imesema itaendelea kuwachukulia hatua za kisheria walimu na watu wote ambao wamekuwa wakijihusisha kimapenzi na wanafunzi wao kwani wanasababisha kwanafunzi kushindwa kufikia malengo yao. Na Kadislaus Ezekiel – Kibondo Jeshi la Polisi Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma, limemkamata Mwalimu wa…