Radio Tadio

Habari za Jumla

30 May 2024, 10:36 am

Misitu 30 kuboresha biashara ya Kaboni Katavi

Mkuu wa mkoa wa Katavi akiwa wilayani Tanganyika .picha na site tv “Halmashauri zote mkoani katavi zinapaswa kutunza mazingira ili kunufaika na biashara ya hewa ukaa na kukuwa kiuchumi“ Na Betold Chove- Katavi Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko…

30 May 2024, 10:06

Mwalimu mbaroni kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi wake

Serikali imesema itaendelea kuwachukulia hatua za kisheria walimu na watu wote ambao wamekuwa wakijihusisha kimapenzi na wanafunzi wao kwani wanasababisha kwanafunzi kushindwa kufikia malengo yao. Na Kadislaus Ezekiel – Kibondo Jeshi  la Polisi Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma, limemkamata Mwalimu wa…

29 May 2024, 09:55

Serikali yapongezwa udhibiti, ramli chonganishi

Serikali wilayani kasulu imesema iitaendelea kuhakikisha ulinzi na usalama unaimarishwa kwa kuwachukulia hatua wale wote watakaoonyesha vitendo vya uvunjifu wa amani kwenye jamii ikiwemo ramli chonganishi. Na Michael Mpunije – Kasulu Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma…

25 May 2024, 11:26 pm

ALAT yaipongeza Ngorongoro

Mbali na fedha za kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Ngorongoro kutoa serikalini pia kumekuwa na wadau wanaotoa fedha za kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kushirikiana na halmashauri, wadau hao nikama vile KWF,TANAPA na wengineo. Na Zacharia James Jumuia ya…

17 May 2024, 14:41

Serikali yagawa vifaa kwa shule zenye wanafunzi wa MEMKWA

Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuhakikisha inaboresha elimu nchini kwa wanafunzi. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma Mwl. Vumilia Simbeye amekabidhi vifaa vya shule kwa wakuu wa shule 16…

May 16, 2024, 6:27 pm

Watoto wafariki wakiogelea bwawani Shinyanga

Watoto watatu wakazi wa Kata ya Tinde Wilaya ya Shinyanga, Mkoa wa Shinyanga wamefariki dunia baada ya kuzama katika bwawa la Ngaka lililopo katika kijiji cha Nyambuhi walipoenda kuogelea. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio wamesema tukio hilo limetokea Mei…

May 16, 2024, 6:09 pm

Mgogoro wa miaka 25 soko la Magwanji Kahama watatuliwa

Na Neema Nkumbi- Huheso Fm Wakazi wa Mtaa wa Nyakato, Kata ya Nyasubi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wameishukuru serikali ya Mtaa huo, kwa kumaliza mgogoro wa soko la Magwanji uliodumu kwa Zaidi ya miaka 25 uliokuwa ukikwamisha kuanza…