Radio Tadio

Habari za Jumla

10 Novemba 2020, 18:27 um

Athari ya uzazi wa mpango kwa mabinti wadogo

Hujambo, karibu kusikiliza kipindi Maalum kinachoangazia Athari za utumiaji wa Dawa za uzazi wa mpango kwa mabinti wenye umri mdogo ambao wanatumia sindano na vidonge ili kujikinga na ujauzito bila kujua athari zake. Hapa utawasikia mabinti, wazazi na Daktari Deogratius…

10 Novemba 2020, 17:49 um

TADIO yawahasa Wanahabari kutoandika Habari za uchochezi

Waandishi wa habari hususan wa redio za kijamii Tanzania wametakiwa kuandika habari za kudumisha Amani nchini na kuacha kupendelea kuandika habari za uchochezi na zenye kuleta taaruki. Wito huo umetolewa leo na Mwezeshaji wa mafunzo ya kujenga Amani hasa baada…

31 Oktoba 2020, 8:11 MU

Kipindi cha Ujasiliamali -Radio Fadhila 95.0Fm

Kipindi cha ujasilia mali kichoelezea nmna ya watu walio amuwa kujiajili kwa kuanzisha biashara zao , kilimo n.k hapa utamsikia mjasilia mali kutoka shirika la mungu mwokozi fr. JUDE MASAWE alia amuwa kujishugulisha na kilimo cha bustani