Radio Tadio

Habari za Jumla

2 February 2021, 08:25

Mbadala wa vifungashio visivyotakiwa kupatikana

Na,Mariam Matundu, Dodoma. Kufuatia tamko la Waziri wa nchi Ofisi ya makamu wa rais Muungano na mazingira Mh.Ummy Mwalimu la Januari 8 mwaka huu kutoa muda wa miezi 3 kuhakikisha vifungashio vinavyotumika kufungia bidhaa sokoni havitumiki , watendaji wameanza kutoa…

29 January 2021, 09:56

Vipigo kwa wanawake kukomeshwa ifikapo 2022

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Serikali imesema itaendelea kuhakikisha changamoto ya wanawake kufanyiwa ukatili kwa kupigwa inapungua kwa asilimia 50 ifikapo mwaka 2022. Taswira ya habari imezungumza na Monika Chisongela Mratibu wa Dawati la Jinsia Wilaya ya Bahi, ambapo amebainisha kuwa jumla…

29 January 2021, 09:28

Wananchi Matumbulu walilia kituo cha Polisi

Na,Victor Chigwada, Dodoma. Wananchi wa Kata za Matumbulu na Mpunguzi jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwajengea kituo kidogo cha Polisi ili kukabiliana na matukio mbalimbali ya kihalifu. Wakizungumza na Taswira ya habari wananchi hao wamesema kuwa katika Kata nzima wana askari…

25 January 2021, 08:59

Prof.Mkenda:Tunatilia mkazo uzalishaji mazao ya mafuta

Na,Alfred Bulaya, Dodoma. Serikali imesema inaweka nguvu kubwa katika uzalishaji wa mazao ya mafuta ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa mafuta inayotokea nchini na kupunguza kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi. Mkazo huo unawekwa kwa kuzingatia kwamba ni asilimia…

20 January 2021, 13:57

Wananchi Ihumwa walalamikia ubovu wa barabara

Na,Victor Chigwada, Dodoma. Baadhi ya wananchi wa Kata ya Ihumwa jijini Dodoma wamelalamikia ubovu wa miundombi ya barabara uliotokana na mvua zinazoendelea kunyesha ambapo zimesababisha kukatika kwa mawasiliano kutokana na magari kushindwa kufika kwenye kituo cha maegesho.Wakizungumza na taswira ya…