Radio Tadio

Habari za Jumla

6 January 2021, 10:14

Wananchi wametakiwa kutunza na kuhifadhi mazingira

Akizungumza na Radio Jamii Kilosa Januari 6 ,2021 Afisa Mazingira Bwana Anthony Heriel Mbise amesema kuwa ni vyema wananchi wakatumia mvua zinazo endelea kunyesha kipindi hiki kupanda Miti na Maua. Amesema kuwa Maua yanasaidia kupendezesha mazingira yanayo zunguuka na Miti…