Radio Tadio

Habari za Jumla

19 May 2025, 2:50 pm

Waumini wa dini ya Kiislam waonywa kuachana na uovu

‘Waishi kwa kufuata maelekezo na misingi ya imani mwenyezi Mungu.‘ Na Samwel Mbugi -Katavi Sheikh mkuu wa mkoa wa Katavi Nassor Kakulukulu amewataka  waumini wa dini ya Kiislam mkoani Hapa kuachana na uovu na badala yake waishi kwa kufuata maelekezo…

19 May 2025, 2:18 pm

Biashara ya kaboni yaibadilisha Tanganyika

‘miradi mingi imetekelezwa na kukamilika na inaleta manufaa kwa wananchi wa halmashauri hiyo.’ Na Betord Chove -Katavi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Tanganyika kwa utekelezaji mahili wa miradi ya kimikakati inayoendelea wilayani hapo…

May 16, 2025, 9:56 am

Wazazi watakiwa kuwalida watoto dhidi ya ukatili

Wazazi wametakiwa kuwajengea watoto wao uwezo wa kujiamini kutokana na matukio ya kikatili yanayoendelea kushamiri hapa nchini. Na Mariam Mallya Afisa Mradi Magdalena Mchome kutoka Taasisi ya (WEGS) inayojihusisha na kuwainua wanawake kiuchumi pamoja na masuala ya kijinsia (WEGS) Iliyopo…

15 May 2025, 3:03 pm

Kumbukeni kujiandaa kukabiliana na ukame Terrat Simanjiro

“Huu ndiyo wakati wa kuhakikisha maeneo yetu ya malisho yanalindwa, kuhifadhi mbegu za majani, na kuhakikisha tunafuata utaratibu wa kulisha mifugo ili kipindi cha ukame kisitukute hatuna maandalizi,” Kone Medukenya Na Baraka David Ole Maiaka Jamii ya wafugaji wa kijiji…

12 May 2025, 2:12 PM

Ashikiliwa kwa kukata nyeti za rafiki yake

Inadaiwa kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro uliotokana na tuhuma za wizi, ambapo mtuhumiwa alimshuku marehemu kuwa anamuibia baadhi ya vitu vyake. Na Lilian Martin Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia mtu mmoja aitwaye Wales Gerald (45), mkazi…

12 May 2025, 12:55 pm

Mwenyekiti UWZ atoa wito wa mshikamano

Na Mary Julius. Mwenyekiti wa Umoja wa Watu Wenye Ulemavu Zanzibar, UWZ Abdulwakili H Hafidhi, amewataka wanachama wa umoja huo kuunga mkono viongozi wao kwa lengo la kuhakikisha kuwa huduma na mafanikio ya umoja huo yanawafikia watu wote wenye ulemavu…