Radio Tadio

Habari za Jumla

26 March 2021, 8:13 am

Uwajibikaji wa Vijana ni matunda ya kumuenzi Rais Magufuli

Na; Selemani Kodima Vijana Nchini wametakiwa kuendelea kuwajibika na kuonesha Uzalendo katika Majukumu yao ili kuenzi uzalendo ambao uliooneshwa na Hayati Rais Magufuli wakati wa Utawala wake. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi   Mtendaji wa  Taasisi ya maendeleo ya Vijana Dodoma DOYODO…

25 March 2021, 3:58 pm

Maelfu ya wananchi Mkoa Simiyu wamlilia JPM

Maelfu ya wananchi mkoani Simiyu wamejitokeza kwa wingi katika misa takatifu ya kumuombea aliyekuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati Dkt.John Pombe Magufuli ikiwa na lengo la kumuombea kwa MUNGU apumzike kwa amani milele. Akiongoza maelfu ya wananchi…

25 March 2021, 1:30 pm

Viongozi mbalimbali, wasanii Watoa heshima zao Mwisho

Na; Mariam Kasawa. viongozi, wasanii na maelfu ya wananchi wametoa heshima zao za mwisho kwa hayati Dkt. Magufuli kijijini chato mkoani geita Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa na Makamu wapili wa Rais wa serikali…

24 March 2021, 1:14 pm

Wafanyabiashara Dodoma Wamshukuru Magufuli

Na; Shani  nicholous . Kufuatia kifo cha aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt.John Magufuli bado wajasiriamali wadogo pamoja na wafanyabiashara mbalimbali wameendelea kumlilia na kumshukuru kwa kuwaboreshea mazingira yao ya biashara. Wakizungumza na Dodoma Fm wajasiriamali…

24 March 2021, 12:24 pm

Wananchi wilayani maswa wamlilia Dr Magufuli

Wananchi wilayani Maswa mkoani Simiyu wameeleza kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati mh Dokta John Joseph Pombe Magufuli.. Wakiongea na Sibuka fm kwa nyakati tofauti wamesema kuwa Hayati Magufuli amefanya mambo mengi kwa…

24 March 2021, 12:06 pm

Rais Magufuli aliutambua mchango wa wanawake katika uongozi

Na; Mariam Matundu. Viongozi wanawake jijini Dodoma wamesema watamkumbuka daima hayati Dkt.John Magufuli kwa kuwa aliwaamini wanawake na kuwapa nafasi mbali mbali za uongozi katika kipindi cha uongozi wake. Akizungumza na taswira ya habari mmoja wa madiwani wanawake Kata ya…