Radio Tadio

Habari za Jumla

23 April 2021, 14:58

Rais Samia Suluhu afanya uteuzi mwingine

Na; Ikulu Mawasiliano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Hedwiga Swai kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania. Dkt. Swai anashika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya kipindi…

22 April 2021, 15:46

Rais Samia akusudia kukutana na viongozi wa kisiasa

Na; Mariam Kasawa. Rais Samia ameliambia Bunge kuwa anapanga kukutana na viongozi wa kisiasa ili kwa pamoja waweke msimamo wa kuendesha shughuli za kisiasa. Rais Samia amesema hayo wakati akitaja namna anavyopanga kuboresha mazingira ya uhuru na demokrasia nchini Tanzania.…

22 April 2021, 08:39

Watanzania wanatarajia nini kwenye hotuba ya Rais Samia ?

Na; Mariam Kasawa Rais Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuhutubia Bunge  katika hotuba itakayotoa mwelekeo wa nini hasa amepanga kutimiza katika muhula wake wa kwanza madarakani. Hii itakuwa ni mara yake ya kwanza kufanya hivyo tangu aapishwe kuwa Rais Machi…

21 April 2021, 5:08 pm

Mchinjaji wa Nguruwe akamatwa na TAKUKURU Manispaa ya Kahama

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) wilayani Kahama imebaini uchinjaji wa mifugo kiholela ikiwemo iliyokufa hali ambayo inahatarisha afya za watumiaji wa nyama ambazo zinauzwa bila kufanyiwa uchunguzi na maafisa mifugo. Mkuu wa TAKUKURU, Abdallah Urari amesema walipokea…