Radio Tadio

Habari za Jumla

8 Aprili 2021, 09:28

Marufuku ya vifungashio kufika tamati Kesho Aprili 9

Na; Mariam Matundu Ikiwa leo ni  siku ya mwisho ya kuwepo kwa vifungashio visivyokidhi viwango vya ubora sokoni ,vifungashio vipya vinavyokidhi viwango vya ubora tayari vimeanza kupatikana sokoni. Hayo yamezungumzwa na Afisa mazingira kutoka ofisi ya makamu wa rais muungano…

7 Aprili 2021, 13:28

Hotuba ya Rais Samia yawapa faraja wananchi

Na; Mindi Joseph Wakazi Mkoani Dodoma wamesema kupitia Hotuba ya Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliyoitoa jana wakati akiapisha viongozi mbalimbali wa kiserikali imewapa faraja na matumaini makubwa katika kutetea haki za wanyonge na…

7 Aprili 2021, 10:45

Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan -Moropc.

Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Morogoro (MOROPC) kinampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuitaka Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kuvifungulia vyombo vyote vya Habari vilivyofungiwa na Serikali kwa Makosa mbalimbali.…

7 Aprili 2021, 09:03

Nagulo Bahi wanafunzi kuanza masomo rasmi

Na ; Suleiman Kodima. Wananchi wa kijiji cha Nagulo Bahi kata ya Bahi wameupongeza Uongozi wa kata hiyo kwa hatua ya kukamilisha Ujenzi wa Sekondari na hatimaye wanafunzi kuanza Masomo Rasmi. Wakizungumza na Taswira ya Habari wananchi hao wamesema kuwa…

7 Aprili 2021, 05:42

Rais kuhudhuria siku ya mashujaa (Karume day) Zanzibar

Na; Mariam Kasawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan jana tarehe 06 Aprili, 2021 aliwasili Zanzibar akitokea Jijini Dar es Salaam ambapo atahudhuria maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) itakayofanyika katika Ofisi Kuu ya…

6 Aprili 2021, 12:36

Wakazi wa Matumbulu wapata neema ya umeme

Na; Benald Flbert Baada ya hivi karibuni Dodoma fm kuripoti taarifa kuhusu ukosefu wa huduma ya umeme katika baadhi ya maeneo ya Kata ya Matumburu, shirika la umeme TANESCOMkoa wa Dodoma limeanza kusambaza nguzo kwa ajili ya kuwaunganishia huduma hiyo.…