Radio Tadio

Habari za Jumla

1 Aprili 2021, 7:48 mu

Wabunge wateule wala kiapo bungeni

Na; Mariam Kasawa Spika wa Bunge Job Ndugai amewaapisha wabunge watatu wa kuteuliwa na Rais leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 bungeni mjini Dodoma. Walioapishwa ni Balozi Liberata Mulamula, Balozi Bashiru Ally na Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk walioteuliwa na Rais Samia…

31 Machi 2021, 4:48 um

Jeshi la polisi mkoani Simiyu linamshikilia mtu mmoja kwa kosa la kupatikana na nyara za serikali. Haya yamesemwa   na kamanda wa jeshi hilo mkoani hapo ACP Richard Abwao wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari na kuongeza kuwa mtuhumiwa…

31 Machi 2021, 3:42 um

RADI YAUA MTU MMOJA NA KUJERUHI MMOJA

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapo kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Simiyu ,kamishina msaidizi wa polisi,Richard Abwa amesema kuwa tukio hilo limetokea  mnamo majira ya saa 01:00 usiku wa kuamkia tarehe 29.03.2021 huko katika kitongoji cha cha…

31 Machi 2021, 2:02 um

Rais afanya mabadiliko baraza la mawaziri

Na; Mariam kasawa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri . Rais Suluhu  amefanya  mabadiliko hayo leo Machi 31,2021 Ikulu Chamwino Dodoma wakati wa hafla ndogo ya kumuapisha Makamu wa Rais,…

31 Machi 2021, 12:55 um

Milioni 160 kununua Dira za maji Maswa

Zaidi  ya  shilingi  Milioni  160 zimetolewa  na  serikali  ya jamhuri  ya  muunga no  wa  tanzania  kwa   ajili  ya  ununuzi  wa  dira  za  maji  ili  kila  mtu  anayetumia   alipe  kwa  kadri  ya  matumizi  yake. Hayo  yamesema  na  mkuu  wa  wilaya   ya  …

31 Machi 2021, 12:26 um

Ligi kuu Tanzania Bara kurejea dimbani April 8

Na; Matereka Junior. Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania,(TPLB) Almas Kasongo amesema kuwa Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajia kuendelea Aprili 8 baada ya kutimiza siku 21 za maombolezo. Amesema baada ya kuipitia ratiba yao wamekuja na mabadiliko ambapo ligi…

31 Machi 2021, 11:43 mu

Miundombinu bora ni chachu ya ufaulu katika shule za umma

Na; Mindi Joseph Imeelezwa kuwa uboreshaji wa miundombinu na usimamizi makini unahitajika kwa shule za Umma ili kuongeza morali ya kufanya vizuri kwa wanafunzi Mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa matokeo ya Baraza la Mitihani Tanzania NECTA kuanzia mwaka 2018 hadi…

31 Machi 2021, 9:17 mu

Serikali kuwatambua watoa mikopo ya kilimo

Na; Mariam Matundu Kutokana na changamoto ya baadhi ya wakulima kushindwa kupata mikopo ya pembejeo  kwasababu ya  riba kubwa na masharti mengine yanayotolewa na watoa mikopo, serikali kupitia wizara ya kilimo imeanza kuwatambua watoa huduma wote wanaotoa mikopo ya kilimo.…