Radio Tadio

Habari za Jumla

23 Aprili 2021, 19:31 um

TPB yatoa elimu kwa wavuvi

Na Karim Faida Wavuvi wa kijiji cha Namela kata ya Msangamkuu halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani hapa wamepewa elimu ya namna ya kupata mkopo Benki ili kujiendeleza katika shughuli zao kwa lengo la kuvua kivuvi chenye tija. Akiongea na…

23 Aprili 2021, 2:58 um

Rais Samia Suluhu afanya uteuzi mwingine

Na; Ikulu Mawasiliano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Hedwiga Swai kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania. Dkt. Swai anashika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya kipindi…

22 Aprili 2021, 3:46 um

Rais Samia akusudia kukutana na viongozi wa kisiasa

Na; Mariam Kasawa. Rais Samia ameliambia Bunge kuwa anapanga kukutana na viongozi wa kisiasa ili kwa pamoja waweke msimamo wa kuendesha shughuli za kisiasa. Rais Samia amesema hayo wakati akitaja namna anavyopanga kuboresha mazingira ya uhuru na demokrasia nchini Tanzania.…

22 Aprili 2021, 10:56 mu

Chidilo walalamika kukosa huduma zitokanazo na nishati ya umeme.

Na; Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa kukosekana kwa huduma ya umeme katika Kijiji cha Chidilo Kata ya Mpalanga Wilayani Bahi kumechangia kwa kiasi kikubwa kakosekana kwa huduma nyingine zinazotegemea nishati hiyo. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wananchi wa Kijiji hicho wakati…

22 Aprili 2021, 8:39 mu

Watanzania wanatarajia nini kwenye hotuba ya Rais Samia ?

Na; Mariam Kasawa Rais Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuhutubia Bunge  katika hotuba itakayotoa mwelekeo wa nini hasa amepanga kutimiza katika muhula wake wa kwanza madarakani. Hii itakuwa ni mara yake ya kwanza kufanya hivyo tangu aapishwe kuwa Rais Machi…