Radio Tadio

Habari za Jumla

9 Septemba 2021, 1:20 um

Mtoto afariki baada ya kujeruhiwa na Fisi-Maswa.

Mtoto mwenye umri wa miaka 5 anayejulikana  kwa  jina  la  Masule. S. Cosmas mkazi wa kijiji cha  zawa   kata  ya  mwanghonori wilayani  Maswa  Mkoani Simiyu   amefariki baada ya kujeruhiwa na  fisi  sehemu mbalimbali za mwili wake. Tukio hilo limetokea  Siku…

6 Septemba 2021, 16:43

Bunda: Tembo aua mmoja ajeruhi mmoja

By Adelinus Banenwa Kwandu Mtorogo (67) mkazi wa mtaa wa butakare kata ya bunda stoo wilayani bunda amepoteza maisha kwa kukanyagwa na tembo wakati anatoka kusenya kuni Tukio hilo limetokea leo sept 5, 2021 ambapo kwa mujibu wa mashuuda wamesema…

3 Septemba 2021, 9:01 mu

Wanaume wa mahanzi iringa wapigwa na wake zao

Iringa Na Hafidh Ally Wanaume wa Kijiji cha Mahanzi Kilichopo Kata ya Wasa Wilaya ya Iringa wamelalamikia vitendo vya wanaume kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo kupigwa na wake wao. Wakizungumza katika  Ziara ya kikazi ya Mkuu wa Wilaya…

2 Septemba 2021, 19:55

Bunda; 4 Sept 2021 siku ya usafi wilaya nzima

By Hawa Mbulula Katibu tawala wa wilaya ya bunda Salum Mtelela ametoa wito kwa wananchi wote wa bunda kwa ujumla kuwa tarehe 4/9/2021 siku ya jumamosi ni siku ya usafiĀ  mkoa wa mara Mteela ameyasema hayo leo sept 2 ,2021…

2 Septemba 2021, 08:56

Aliyekuwa DC Bunda aagwa baada ya kustaafu

By Adelinus Banenwa Umoja wa watumishi Makada wilaya ya Bunda mkoani Mara,leo umefanya sherehe ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Bunda mwalimu Lydia Bupilipili na kumkaribisha mkuu wa wilaya ya Bunda Mheshimiwa Joshua Nasarr. Akizungumza wakati wa kufungua sherehe…