Radio Tadio

Habari za Jumla

8 November 2021, 7:17 am

Serikali za vijiji zishiriki elimu chanjo UVIKO

RUNGWE-MBEYA Jamii wilayani Rungwe imeendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virus vya Corona kwa kuendelea kuzingatia upataji wa chanjo inayoendelea kutolewa kote nchini. Akizungumza na Radio Chai FM Mwenyekiti wa kitongoji cha Mabonde kata ya Msasani Wilayani Rungwe Ndg.ELIAS  MWASAMBILI amesema…

8 November 2021, 6:22 am

Chakula mashuleni chaongeza ufaulu Rungwe

RUNGWE-MBEYA Ulaji wa chakula cha mchana katika shule za msingi wilayani Rungwe imechangia kuongeza kiwango cha ufaulu kwa matokeo ya darasa la saba mwaka huu kutoka asilimia 85.28 ya mwaka jana hadi asilimia 90.59 mwaka huu ambalo ni ongezeko la…

6 November 2021, 16:58

TANROAD simamieni kwa ukaribu ujenzi wa miundombinu ya barabara

Na mwandishi wetu Daniel Manyanga,Simiyu Mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila amemtaka wakala wa barabara TANROAD mkoani hapo kusimamia kwa ukaribu utekelezaji wa miradi  mbalimbali ya ujenzi wa barabara ili kubaini mapungufu mapema na kuepusha gharama zaidi za ukarabati.…

6 November 2021, 11:38

Wapewa siku 90 kuwapisha wafugaji

Wakulima waliovamia ardhi ya kijiji cha Kashanda kata ya Nyakakahanga wilayani Karagwe  wamepewa miezi mitatu kuvuna mazao yao mahindi na maharage na kisha kuondoka katika kijiji hicho ili kuwaacha wafugaji waendelee na shughuli zao. Kamati ya ulinzi na usalama ya…

4 November 2021, 4:46 am

Mkuu wa wilaya Rungwe amaliza mgogoro wa shule

RUNGWE Mkuu wa wilaya ya Rungwe Dr VICENT ANNEY, ameruhusu kuendelea kwa ujenzi wa shule ya sekondari Kibisi ambao ulikuwa umeingia kwenye mvutano baada ya kiasi cha shilingi  mil 40 kilicho tengwa kwaajili ya ukamilishaji wa maboma ya shule kupelekwa…

31 October 2021, 4:10 am

Jamii yapaswa kuzingatia lishe kwa Watoto

Rungwe-Mbeya Ili kupunguza tatizo la udumavu na utapia mlo  Jamii imetakiwa kuzingatia ulaji sahihi unaoshauriwa na wataalamu wa afya kwa watoto. Rai hiyo imetolewa na afisa lishe wilaya ya Rungwe Bi Halima Kimeta  alipokuwa akizungumza na kituo hiki  amesema kuwa…

30 October 2021, 11:49 pm

Usalama wa wanafunzi mashuleni wawapatia changamoto

Imeelezwa kuwa Usalama wa wanafunzi ndani na nje ya shule imekua changamoto hali inayowapelekea kushuka katika masomo yao katika Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga. Wameyasema hayo leo wanafunzi wakati wa kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Ghama Hotel ambapo kimejumuisha shule…