Habari za Jumla
19 October 2021, 15:39
DIT – Waanzisha kampeni kuhamasisha watoto wa kike mashuleni kusoma sayans…
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam ( DIT) wamezindua kampeni ya ya kuhamasisha wanafunzi wakike kusoma masomo ya sayansi ili kuendana na kukua kwa teknolojia itakayowapa fursa zaidi katika uchumi wa viwanda. Kampeni hiyo imezinduliwa leo octoba 17 wilaya Ruangwa…
19 October 2021, 15:38
watu watatu wajeruhiwa na chui
Watu watatu wakazi wa Kijiji Mwabulimbu kata ya Mwan’gonoli tarafa ya Sengerema wilayani Maswa mkoani Simiyu wamejeruhiwa na mnyama aina ya chui sehemu mbalimbali za miili yao. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu ACP Blasius…
19 October 2021, 15:25
Wivu wa mapenzi wapelekea kumuua mke wake kwa kumkata mapanga.
Mwanamke mmoja aitwae Pili Masonga mwenye umri wa miaka 28,msukuma mkazi wa Kijiji cha Kulimi wilayani Maswa mkoani Simiyu ameuwawa na mme wake kwa kukatwa mapanga sehemu mbali mbali za mwili wake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi…
19 October 2021, 12:03 pm
Kamanda wa polisi akanusha askari kupasuliwa fuvu la kichwa Songwe
kamanda wa polisi mkoa wa Songwe Janeth Magomi amekanusha taarifa iliyosambaa kwenye vyombo vya habari juu ya baadhi ya askari wa jeshi la polisi wilayani Mbozi kupasuliwa fuvu la kichwa na wananchi wenye hasira kali wa kijiji cha Mpanda kata…
18 October 2021, 1:58 pm
Zao la viazi laozea Shambani
Zao la Viazi kwa wakulima wa Kata ya Kitulo Wilayani Makete huenda likaozea shambani kwa sababu ya kukosekana soko la uhakika la zao hilo Kwa mujibu wa Wakulima wa Viazi Kata ya Kitulo, wamesema wengi wao wameshindwa kuvuna viazi shambani…
18 October 2021, 13:30
Mkuu wa mkoa wa Simiyu ashangazwa na wahitimu wa (JWTZ) kushindwa kujitegemea.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mh,David Kafulila ameshangazwa na kitendo cha wahitimu wa wafunzo ya (JWTZ)kushindwa kujitegemea baada ya kuhitimu mafunzo yao licha ya Serikali kutumia gharama kubwa kwa ajili ya mafuzo hayo David Kafulila ameyasema hayo wakati wa kongamano…
15 October 2021, 12:07 pm
Songwe kutimiza ndoto ya Mh. Samia Januari 2022
Mkoa wa Songwe umetangaza mkakati mahususi wa kukusanya kiasi cha shilingi milioni 200 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya msingi itakayowezesha kufunguliwa na kupokea wanafunzi kwa shule ya wasichana ya Mkoa inayojengwa katika eneo la Myunga,Wilayani Momba mkoani…
13 October 2021, 14:30
hakielimu yatoa mafunzo na vyerehani kwa watoto wa kike ili kushona taulo za kik…
Katika kukabiliana na changamoto za watoto wa kike kutohudhuria kikamilifu masomo yao hakielimu kupitia mradi wa The Girls Retention and Transition Initiative (G.R.T.I ) imetoa vyerehani na mafunzo kwa wanafunzi kutegeneza taulo za kike ili waweze kujihifadhi kipindi cha hedhi…
13 October 2021, 12:45 pm
Wakulima wapewa ruzuku za pembejeo
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga amewataka wakulima waliopatiwa ruzuku za pembejeo za kilimo na halmashauri kuhakikisha wanatumia vizuri pembejeo hizo kwenye kilimo kama ilivyokusudia. Festo kiswaga ameyasema hayo wakati akigawa pembejeo hizo kwa wakulima ambapo amesema wakulima waliopatiwa …
13 October 2021, 9:13 am
Mila na desturi zazuia fursa nyasa
Wanawake wa wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma,wailalamikia serikali kwa kukosa fursa ya kufanya kazi mbalimbali ikiwemo uvuvi katika ziwa nyasa na uuzaji wa samaki. unyanja fm ilifika mpaka ziwani na kuongea na baadhi ya wanawake hao,wanao jihusisha na biashara ya…