Radio Tadio

Habari za Jumla

21 October 2021, 9:11 am

watoto 20 kati ya 85 wakutwa na udumavu Ileje

Watoto 20 kati ya 85 wamekutwa na udumavu katika kiijiji cha Igumila wilayani Ileje mkoani Songwe baada ya kupimwa na wataalamu wa afya wakati wa kutoa elimu juu ya umuhimu wa lishe ikiwa ni kuelekea maadhimisho ya siku ya lishe…

19 October 2021, 15:38

watu watatu wajeruhiwa na chui

Watu watatu wakazi wa Kijiji Mwabulimbu kata ya Mwan’gonoli tarafa ya Sengerema wilayani Maswa mkoani Simiyu wamejeruhiwa na mnyama aina ya chui sehemu mbalimbali za miili yao. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu ACP Blasius…

18 October 2021, 1:58 pm

Zao la viazi laozea Shambani

Zao la Viazi kwa wakulima wa Kata ya Kitulo Wilayani Makete huenda likaozea shambani kwa sababu ya kukosekana soko la uhakika la zao hilo Kwa mujibu wa Wakulima wa Viazi Kata ya Kitulo, wamesema wengi wao wameshindwa kuvuna viazi shambani…

15 October 2021, 12:07 pm

Songwe kutimiza ndoto ya Mh. Samia Januari 2022

Mkoa wa Songwe umetangaza mkakati mahususi wa kukusanya kiasi cha shilingi milioni 200 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya msingi itakayowezesha kufunguliwa na kupokea wanafunzi kwa shule ya wasichana ya Mkoa inayojengwa katika eneo la Myunga,Wilayani Momba mkoani…