Radio Tadio

Habari za Jumla

24 Agosti 2021, 8:29 mu

Tahadhari Ya Moto

Na Katalina Liombechi Wakulima katika Wilaya ya Kilombero wametakiwa kuchukua Tahadhari ya kudhibiti Moto hasa kipindi hiki cha Maandalizi ya Mashamba ili Kuzuia kuchoma Rasilimali Za Misitu. Idd Hassan Liwiga ni Mhifadhi wa Misitu kutoka Wakala wa Huduma za Misitu…

14 Agosti 2021, 16:22 um

Polisi yamkamata “anayetuhumiwa” kuteka watoto Mtwara

Na Gregory Millanzi Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limemkamata mtuhumiwa Jabiri Bakari (19) kwa tuhuma za uhalifu wa utekaji, ubakaji na kulawiti watoto baada ya kuwalaghai kwa njia mbalimbali na kufanikiwa kuondoka nao kwenda kwenye maeneo na kunzisha makazi…

13 Agosti 2021, 10:12 mu

Mhe, BEREGE akabidhiwa Ofisi aahidi neema kwa wana Maswa

Mkurugenzi  Mtendaji  wa  Halmashauri  ya  wilaya  ya  Maswa   Mkoani  Simiyu   Ndugu  Saimoni  Berege  ameahidi  kutoa  ushirikiano  kwa  Madiwani  na  watumishi   wa kada  mbalimbali  pamoja  na   kwakuendeleza  miradi  yote  ambayo  ilianzishwa  na  Mtangulizi  wake  Dr  Fredrick   Sagamiko   ambaye  kwa  sasa  amehamishiwa …

31 Julai 2021, 15:18 um

Mtwara: Watu 15 watuhumiwa kwa Viuatilifu feki

Na Musa Mtepa. Jumla ya Tani 84.3 za pembejeo Feki (Viuatilifu) zenye thamani ya Zaidi ya milioni 100 zimekamatwa katika oparesheni maalumu wakati zikipelekwa Kwa wakulima wa zao la korosho mkoani Mtwara. Akizungumza Na waandishi WA Habari ofisini kwake Mkuu…

Julai 26, 2021, 6:46 um

Baiskeli 40 kusaidia kuzuia maambukizi mapya ya Ukimwi

Mabinti wenye umri kati ya miaka 15-24 wa halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wamepatiwa Baiskeli zaidi ya 36 kwa ajili ya uelimishaji rika juu ya kuzuia maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi. Baiskeli hizo zimetolewa na shirika la Huheso Foundation…

22 Julai 2021, 10:47 mu

Maji ya Ziwa Victoria kuleta suruhisho la changamoto ya maji mji wa m…

Mkurugenzi  Mtendaji  wa  mamlaka  ya  maji  na  Usafi wa  mazingira  Maswa- MAUWASA   Mhandisi   Nandi  Mathias  amesema  kuwa   kuanza  kutekelezwa  kwa  mradi  wa  maji  kutoka  ziwa  Victoria  utaondoa  changamoto  ya  Upatikanaji  wa  Maji  katika  katika  Mji  wa  Malampaka  uliopo wilayani  Maswa  …